Moravian Theological College : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Motheco''' au '''Moravian Theological College''' ilikuwa Chuo cha Theolojia cha Kanisa la Moravian Tanzania katika mji wa Mbeya (Tanzania). Kilianzishwa mwaka 1969 huko [[Ch...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 16:49, 31 Oktoba 2007

Motheco au Moravian Theological College ilikuwa Chuo cha Theolojia cha Kanisa la Moravian Tanzania katika mji wa Mbeya (Tanzania). Kilianzishwa mwaka 1969 huko Chunya na kuhamia Mbeya mwaka 1978. Kilifundisha wachungaji wa Kanisa la Moravian pia la Kilutheri hadi kiwango cha cheti na diploma.

1990 kozi ya BD (Bachelor of Divinity) ilianzishwa.

Tangu 2005 Motheco ilikwisha ikaingia katika Chuo Kikuu Teofilo Kisanji.