Teofilo Kisanji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Teofilo Hiobo Kisanji''' (*26 Desemba 1915 - 15 Aprili 1982) alikuwa mwalimu, mchungaji na baadaye askofu wa kwanza Mwafrika wa Kanisa la Moravian Tanzania. Kisan...
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Teofilo Hiobo Kisanji''' (*[[26 Desemba]] [[1915]] - [[15 Aprili]] [[1982]]) alikuwa mwalimu, mchungaji na baadaye [[askofu]] wa kwanza Mwafrika wa [[Kanisa la Moravian Tanzania]].
 
Kisanji alizaliwa katikia kijiji cha Chadodwa kwenye [[wilaya]] ya [[Sikonge]] katika familia ya [[Wanyamwezi]] wakristo. Baba alikuwa mwinjilisti wa kanisa la Moravian. Akasoma [[ualimu]] akafundisha shuleni tangu 1933 na baadaye kama mwalimu wa chuo cha ualimu.
Mstari 5:
1949 akafuata wito wa kuwa mchungaji wa kanisa akibarikiwa 1950. Alisoma [[theolojia]] huko [[Uingereza]] na [[Uholanzi]] akarudi Tanzanis kuwa mchungaji [[Tabora]] mjini.
 
1962 alichaguliwa mchungaji kiongozi kwa cheo cha superintendent akiwa mwafrika wa kwanza katika kanisa lake. [[1965]] akateuliwa kuwa askofu Mwafrika wa kwanza katika kanisa la Moravian Tanzania akasimamia jimbo la Tanzania Magharibi (Tabora). Alikuwa askofu Moravian Mwafrika wa pekee nchini [[Tanzania]] hadi 1979.
 
Kisanji alikuwa kati ya viongozi wa makanisa waliojenga umoja wa [[Jumuiya ya Kikristo Tanzania]] (CCT). 1968 alishiriki katika azimio la kuanzisha chuo cha [[Motheco]] mjini [[Chunya]]. Aliandika vitabu viwili juu ya historia ya kanisa Lala Moravian.
 
Kisanji aliolewa akazaa watoto 15 na mke wake Perpetua.