Tofauti kati ya marekesbisho "Maginetiti"

2 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
kielekezo feri> chuma
d (r2.7.1) (roboti Nyongeza: be-x-old:Магнэтыт)
(kielekezo feri> chuma)
[[Picha:Chalcopyrite-Magnetite-cktsr-10c.jpg|thumb|220px|Maginetiti kutoka Afrika Kusini]]
'''Maginetiti''' ni [[madini]] yenye rangi nyeusi-kijivu yenye tabia ya [[sumaku]]. Kikemia ni oksidi ya [[feri| (chuma)]] yenye valensi za 2+ na 3+. Fomula yake ni Fe<sup>3+</sup><sub>2</sub>Fe<sup>2+</sup>O<sub>4</sub>.
 
Inatokea mara nyingi kwa umbo la [[fuwele]] zenye urefu wa karibu sentimita 1 na kona 8. Kiwango cha feri (chuma) hufikia asilimia 72 kwa hiyo ni malighafi muhimu kwa kutengeneza chuma.