Chombo cha angani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza wa:Indjén spaciå
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Atlantis-MIR-GPN-2000-001071.jpg|250px|thumbnail|Feri ya anga Atlantis ikiondokakwenye kituo cha anga MIR tarehe 4 July 1995]]
'''Chombo cha anga la nje''' (pia: chombo cha safari za anga ya juu) ni chombo kwa ajili ya usafiri katika [[anga la nje]] ya angahewa ya dunia yetu. Vyombo vya angani viko kwa kazi nyingi pamoja na mawasiliano, kubeba vifaa vya kutazama na dunia au hali ya hewa, kufanyia utafiti [[sayari]] nyingine au kusafirisha watu na mizigo.