Tofauti kati ya marekesbisho "Yosefu wa Leonesa"

292 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '250px|thumb|right|Mt. [[Fidelis wa Sigmaringen na Mt. Yosefu wa Leonesa walivyochorwa na Giovanni Battista Tiepo...')
 
 
'''Yosefu wa Leonesa, [[O.F.M. Cap.]]''', ([[jina la kitawa]] kwa [[Kiitalia]] Giuseppe da Leonessa, jina la awali Eufranio Desiderio)
aliishi zaidi nchini [[Italia]] ([[8 Januari]] [[1556]] – [[4 Februari]] [[1612]]) na anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya [[kifo]] chake.
 
Kama [[mtawa]] alishika sana matendo ya [[toba]] na kujinyima.
 
Alipata [[upadrisho]] tarehe [[24 Septemba]] [[1580]].
 
Mwaka [[1587]] [[Mtumishi mkuu]] wa shirika lake alimtuma [[Konstantinopoli]] ili kuhudumia [[Wakristo]] waliotekwa na kutumikishwa huko. [[Ufukara]] wake na wa wenzake ulivuta [[Waturuki]] wengi waende kuwaona, naye alikuwa akihubiri mjini kila siku hadi alipokamatwa na kufungwa hadi alipoachiliwa kwa juhudi za watu wa [[Venezia]].
Alifikia hatua ya kujaribu kuingia katika [[ikulu]] la [[sultani]] [[Murad III]], lakini alikamatwa tena na kuhukumiwa [[adhabu ya kifo]]. Kwa siku tatu aling'ing'inia [[msalaba]]ni hadi (inavyosemekana) alipofunguliwa na [[malaika]] na kurudishwa Italia.
 
Hapo akaanza kazi ya kuhubiri katika wilaya[[kanda]] yake hadi mara 6 au 7 kwa siku, pamoja na kuanzisha [[huduma]] mbalimbali za kijamii, hadi alipofariki huko [[Amatrice]] mwaka 1612.
 
Alitangazwa na [[Papa Klementi XII]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[22 Juni]] [[1737]], halafu [[Papa Benedikto XIV]] alimtangaza mtakatifu tarehe [[29 Juni]] [[1746]].
 
==Marejeo==
Alitangazwa mtakatifu na [[Papa Benedict XIV]] mwaka [[1746]].
*Giuseppe Maria Guglielmi, S. Giuseppe da Leonessa predicatore cappuccino in Otricoli. Appunti e memorie, Roma, Tipografia arte e lavoro, 1919.
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.newadvent.org/cathen/08521b.htm Joseph of Leonessa] at the [[Catholic Encyclopedia]]
*{{BBKL|j/joseph_v_le|band=15|autor= Johannes Madey|artikel=Joseph von Leonessa|spalten=774–776}}
*[http://penelope.uchicago.edu/Thayer/E/Gazetteer/Places/Europe/Italy/Lazio/Rieti/Leonessa/Leonessa/churches/S.Giuseppe/home.html S. Giuseppe of Leonessa] at Thayer's Gazetteer