Jua : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza pcd:Solel |
nyongeza |
||
Mstari 1:
[[Picha:Sun920607.jpg|thumbnail|Jua]]
'''Jua''' ni [[nyota]] ambayo ni karibu
Kipenyo cha jua ni takriban kilomita 1,392,684 ambayo ni mara 109 ya kipenyo cha dunia yetu. Masi yake ni mara 330,000 ya masi ya dunia.
Kikemia masi ya jua ni hasa [[hidrojeni]] (73%) na [[heli]] (25%). Kiasi kinachobaki ni [[elementi]] nzito zaidi kama vile [[oksijeni]], [[kaboni]], [[chuma]] na [[nyingine]]. Hata kama hizi elementi nzito ni asilimia ndogo tu ya masi ya jua bado zinalingana na mara 5,000 za masi ya dunia kutokana na ukubwa wa jua.
Jua inatoa [[mwanga]], [[joto]] na [[mnururisho]] mwingine wa aina mbalimbali. Asili ya nishati hii ni mchakato wa [[myeyungano wa kinyuklia]] ndani yake. Katika myeyungano huu hidrojeni inabadilishwa kuwa heli. Elementi nyingine zinatokea pia kwa kiasi kidogo. Badiliko kutoka hidrojeni kwenda heli inaachisha nishati inayotoka kwenye jua kwa njia ya mnururisho.
[[Nishati]] ya mnururisho huu ni msingi wa maisha ya [[mmea|mimea]] na [[kiumbehai|viumbe hai]] katika dunia. Nuru ya jua inabadilishwa na mimea kwa njia ya [[usanisinuru]] kuwa nishati ya kikemia inayojenga miili yao itakayokuwa lishe tena ya mimea na wanyama.
▲Mada yake ni katika hali ya [[Utegili (fisikia)|utegili]] yaani kama [[gesi]] ya joto sana.
{{mbegu-sayansi}}
|