München : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3rc2) (Roboti: Imeongeza ay:München
+ nyongeza
Mstari 2:
[[Picha:Munich - Maria column 04.jpg|thumb|right|Maria]]
 
'''München''' au kufuatana na uzoefu wa Kiingereza '''Munich''' (tamka: munik) ni mji mkubwa wa tatu nchini [[Ujerumani]] baada ya [[Berlin]] na [[Hamburg]]) na mji mkuu wa jimbo la [[Bavaria]] lililopo kusini ya Ujerumani. Iko kando la mto [[Isar]] takriban mita 500 [[juu ya UB]]. Milima ya [[Alpi]] iko karibu.
 
Idadi ya wakazi ni watu 1,320,000. Rundiko la jiji pana wakazi milioni miwili na nusu.