Uharibifu wa mazingira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Minor fix using AWB
-]]
Mstari 8:
 
 
Mabadiliko ya mazingira na afya ya binadamu ,sehemu maalum katika Raslimali za Dunia 1998-99 katika ripoti hii inaeleza jinsi magonjwa yanyo uwezo wa kuzuiwa na vifo vya mapema bado huzidi kuongezeka kwa idadi kubwa . Ikiwa kuna marekebisho makubwa katika afya ya binadamu mamilioni afya ya binadamu, mamilioni ya watu watakuwa wangeishi kwa muda mrefu,na maisha yenye afya nzuri kuliko awali. Katika maeneo masikini katika dunia inakadiriwa kuwa mmoja katika watoto watano hawataishi kuona siku yao ya kuzaliwa ya tano, hasa kwa sababu ya magonjwa yanayohusiana na mazingira. Watoto Milioni kumi na moja duniani kote hufa kila mwaka, sawa na wakazi wa [[Norway]] na [[Uswisi,]] wakiunganishwa na hasa kutokana na [[malaria,mashida ya kupumua au kuhara|malaria,mashida ya kupumua au [[kuhara]]]] - magonjwa ambayo yanaweza kukingwa.
 
== Tazama Pia ==