Dioksidi kabonia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ Hewa ukaa
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Carbon-dioxide-2D-dimensions.png|right|thumb|200px|Dioksidi kabonia]]
''' Dioksidi kabonia''' (pia: '''Dioxidi ya kaboni'''; '''Hewa ukaa''', '''Gesi ya ukaa''') ni [[kampaundi]] ya kikemia inayounganisha [[atomi]] mbili za [[oksijeni]] na atomi moja ya [[kaboni]] katika [[molekuli]]. Fomula yake ni '''CO<sub>2</sub>'''.
 
Katika mazingira ya kawaida hutokea kama gesi inayoganda kwenye halijoto chini ya -78.5[[°C]]. Katika hali ya gesi haina ladha wala harufu.