Ajali ya Helikopta ya Polisi 2012, Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Minor fix using AWB
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Kenyan Police Air Wing AS 350 Potters-1.jpg|right|thumb|Helikopta iliyoanguka]]
'''Ajali ya Helikopta ya Polisi 2012, Kenya''' ilikuwanchini ajali[[Kenya]] iliyohusishailihusisha ndege iliyoanguka ya aina ya [[helikopta]] iliyomilikiwa na Kenyapolisi Polisiya Kenya mnamo 10 Juni, 2012. AS350 Eurocopter ilianguka juukatika yaeneo mlimala [[Ng'ong]], na kuua abiria wote sita na wafanyakazi waliokuwepo. Kati ya walioaga dunia ni aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani na Usalama wa Kenya [[George Saitoti]] na Waziri wake Msaidizi [[Joshua Orwa Ojode]].
 
==Ajali==
Mstari 10:
==Mpango wa safari==
Helikopta ilikuwa katika safari kutoka Nairobi hadi kijiji cha Ratang'a katika eneo la mbunge la [[Ndhiwa]], Wilaya ya [[Homa Bay]]. Mawaziri wawili walikuwa wameabiri - Waziri wa mambo ya Ndani na Usalama George Saitoti, ambaye alikuwa ametangaza nia yake ya kugombea urais nchini [[Kenya]], na Naibu wake [[Joshua Orwa Ojode]] - walikuwa wamepanga kuhudhuria mchango wa fedha katika Kanisa Katoliki la Nyarongi . Wawili hao walikuwa wahudhuria Misa, ambayo ilikatishwa na mkuu wa Wilaya na mkuu wa polisi Homa Bay, baada kutoa Habari kuhusu vifo vya wale wanaosubiri kuwasili kwao, ikiwa ni pamoja na mama na ndugu wengine wa karibu wa [[Joshua Orwa Odoje]].
 
[[jamii:Historia ya Kenya]]
[[jamii:Usafiri wa Kenya‎]]
 
[[da:Politihelikopter-styrtet i Kenya 2012]]