Fernando Sancho : Tofauti kati ya masahihisho

2 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
Fernando Sancho
(Fernando Sancho)
(Fernando Sancho)
[[Image:Fernando Sancho.jpg|thumb|right|160px|Fernando Sancho.]]
'''Fernando Sancho''' (Alizaliwa tar. [[7 Januari]] ya mwaka wa [[1916]], akafariki dunia tar. [[31 Julai]] ya mwaka wa [[1990]]) alikuwa muigizaji wa filamu kutoka nchini [[Hispania]]. Sancho alizaliwa mjini [[Zaragoza]], Aragón, [[Hispania]], akaja kuiaga dunia mjini [[Madrid]] baada ya kufanyiwa upasuaji.

Fernando pia aliwahi kuonekana katika [[Spaghetti Westerns|filamu za western]], ambazo nyingi zilitaarishwa na mataarishaji Ignacio F. Iquino, vile vile kuna kipindi huonekana katika filamu alizocheza nyota [[Richard Harrison]].
==Viungo vya Nje==
* [http://www.imdb.com/name/nm0761100/ Fernando Sancho katika IMDB]