Kifua kikuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 33:
=== Kifua kikuu katika sehemu nyingine ya mwili ===
Kadri ya 15-20% ya madhara yanayoletwa na ugonjwa yanaletwa na maambukizi yanayoenea nje ya viungo vya kupumua, na husababisha aina nyingine ya kifua kikuu .<ref>{{cite book|last=Jindal|first=editor-in-chief SK|title=Textbook of pulmonary and critical care medicine|publisher=Jaypee Brothers Medical Publishers|location=New Delhi|isbn=978-93-5025-073-0|pages=549|url=http://books.google.ca/books?id=EvGTw3wn-zEC&pg=PA549}}</ref>/1} Kifua kikuu kinachotokea nje ya viungo vya kupumua kinaitwa "extrapulmonary tuberculosis" <ref name=Extra2005>{{cite journal|pmid=16300038|year=2005|author=Golden MP, Vikram HR|title=Extrapulmonary tuberculosis: an overview|volume=72|issue=9|pages=1761–8|journal=American family physician}}</ref> Extrapulmonary TB hutokea zaidi kwa [[wagonjwa]] wenye upungufu wa kingamwili na watoto wadogo. ExtrapulmonaryTB hutokea kwa zaidi ya 50% ya wagonjwa wenye VVU <ref name= Extra2005 /> Sehemu zinazoathiriwa na extrapulmonary TB ni pamoja na sehemu za nje ya mapafu [[pleura]] (au pleurisy tuberculous), [[mfumo wa neva]] (au kifua kikuu cha [[uti wa mgongo]]), na [[mfumo wa limfu]] (katika [[scrofula]] ya shingo).Extrapulmonary TB pia hutokea katika [mfumo wa [mkojo na sehemu za siri]] (au [[kifua kikuu cha sehemu za siri]]) katika mifupa na viungo (au [[Pott's disease]] wa mgongo), na maeneo mengine. Inapoenea katika mifupa, inajulikana kama "kifua kikuu cha mifupa", <ref>{{cite book|last=Kabra|first=[edited by] Vimlesh Seth, S.K.|title=Essentials of tuberculosis in children|year=2006|publisher=Jaypee Bros. Medical Publishers|location=New Delhi|isbn=978-81-8061-709-6|pages=249|url=http://books.google.ca/books?id=HkH0YbyBHDQC&pg=PA249|edition=3rd ed.}}</ref> ambayo ni aina ya [[maambukizi ya mifupa au osteomyelitis]] <ref name=". Robbins "/> Aina hatari zaidi ya Extrapulmonary TB inaitwa TB ya "kueneza", inajulikana kama [[kifua kikuu]] inayoenea mwilini <ref. Name= ID10 /> Asilimia 10% ya kifua kikuu kinachotokea nje ya viungo vya kupumua, husababisha kifua kikuu inayosamba mwilini. <ref Name= Gho2008 />
 
==Visababishi==
 
=== Mycobacteria ===