Kifua kikuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
Dalili za kawaida za maambukizi ya kifua kikuu kinacholeta madhara ni [[kikohozi | kikohozi sugu]] na [[Hemoptysis | kukohoa damu]], [[Kohozi]], [[homa]], [[kutokwa na jasho usiku]], na [[kukonda]]. (Kifua kikuu kilikuwa kinaitwa "matumizi" kwa sababu watu walioambukizwa hupunguza uzito.) Maambukizi ya viungo vingine husababisha dalili mbalimbali. [[Njia ya kiutaalamu ya utambuzi | utambuzi]] wa kifua kikuu kwa kutumia eksirei ya kuchunguza ugonjwa hujulikana kama eksirei ya kifua na pia wanatumia maikroskopi} na kufanya uchunguzi wa [[vimelea maradhi]] vya majimaji ya mwilini. Uchunguzi wa kifua kikuu kisicholeta madhara hutumia kipimo kiitwacho [[Mantoux test | tuberculin skin test au kipimo cha ngozi]] (TST) na vipimo vya damu. [[Matibabu ya kifua kikuu | tiba]] si rahisi na inabidi kupewa dawa nyingi za kinga mwili kwa kipindi kirefu. Mawasiliano ya kijamii pia yanapimwa na kutibiwa kama inavyotakiwa. [[Dawa kushindwa kutibu magonjwa]] ni tatizo kubwa la maambukizi [[mbalimbali sugu ya kifua kikuu | mengi sugu ya kifua kikuu]] (MDR-TB). Ili kuzuia kifua kikuu, ni lazima watu wapimwe ugonjwa na [[wachanjwe]] na chanjo ya [[Bacillus Calmette-Guérin | bacillus Calmette - Guérin]] .
 
Wataalamu wanaamini kwamba theluthi moja ya [[Idadi ya watu duniani]] wameambukizwa'' kifua kikuu'', <ref name=WHO2012data>{{cite web|url=http://www.who.int/mediacentre/factsheets/fs104/en/index.html|title=Tuberculosis Fact sheet N°104|publisher=[[World Health Organization]]|date=November 2010|accessdate=26 July 2011}}</ref> na kila sekunde kuna mtu ambaye anaambukizwa <ref name= WHO2012data /> Mwaka 2007, kadri ya watu 13,700,000 duniani waliambukizwa na kifua kikuu kinacholeta madhara sugu <ref name= WHO2009 -Epidemiology> {{cite book |title=Global tuberculosis control: epidemiology, strategy, financing |author=World Health Organization |year=2009 |isbn=978-92-4-156380-2|chapter=Epidemiology|chapterurl=http://who.int/entity/tb/publications/global_report/2009/pdf/chapter1.pdf |accessdate=12 November 2009 |pages=6–33}}</ref> Mwaka 2010, kadri ya milioni 8.8 ya watu waliambukizwa na milioni 1.5 ya watu walifariki baada ya kuambukizwa na kifua kikuu, na wagonjwa wengi wanapatikana katika [[nchi zinazoendelea | nchi zinazoendelea.]] <ref name=WHO2011>{{cite web|title=The sixteenth global report on tuberculosis|author=World Health Organization|url=http://www.who.int/tb/publications/global_report/2011/gtbr11_executive_summary.pdf|year=2011}}</ref> Idadi halisi ya wagonjwa wa kifua kikuu imekuwa ikipungua tangu mwaka 2006, na kesi mpya zimeshuka tangu mwaka 2002 .<ref name= WHO2011. /> Kifua kikuu sio ugonjwa unaosambazwa kisawasawa duniani kote. Kadri ya 80% ya watu katika nchi nyingi za Asia na Afrika waliofanyiwa kipimo cha ngozi walionekana wameambukizwa, lakini ni asilimia 5-10% tu ya wananchi wa Marekani ambao walionekana na ugonjwa huo .<ref. Namename= Robbins /> Watu wengi waliopo katika [[nchi zilizoendelea | zinazoendelea duniani]] wanaambukizwa na kifua kikuu kwa sababu ya kutokuwa na kinga. Kwa kawaida, hawa watu wanaambukizwa na kifua kikuu baada ya kuambukizwa na [[VVU]] na hatimaye wanapatwa na [[UKIMWI]] .<ref. Namename= Lancet11 />
 
==Dalili na ishara==