Mario Brega : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mario Brega
 
Mario Brega
Mstari 6:
Brega alizaliwa mjini [[Rome]] [[Italia]]. Mwanzoni alikuwa anafanya kazi machinjioni, kabla ya kujiingiza katika masuala ya uigizaji. Umbo lake kubwa lilimthibitishia kuwa yeye ana uwezo wa kucheza sehemu za hatari.
 
Mwanzoni alicheza sehemu ndogo, katika filamu zilizokuwa zinaongozwa na "Dino Risi", kisha akaja kucheza tena katika baadhi ya filamu ziliongozwa [[Sergio Leone]], zile za [[spaghettiSpaghetti westernWestern]], ikiwemo, ''A Fistful of Dollars'', alicheza k.m Chico, ''For a Few Dollars More'', alicheza k.m Nino, ''The Good, the Bad and the Ugly'', alicheza k.m Wallace, na pia acheza kama mjambazi katika ''Once Upon a Time in America''.
 
Brega pia alionekana katika nyingine nyingi tu za spaghetti Westerns, ikiwemo ''Death Rides a Horse'', ''The Great Silence'', na ''My Name is Nobody''. Brega pia alishiriki katika baadhi ya filamu za muongozaji ''Federico Fellini'', kisha baadae akawa anashughulisha na filamu za vichekesho, akiwa sambamba na muongozaji Carlo Verdone.