Waluo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Waluo''' (pia Wajaluo) ni kabila hasa la [[Kenya]]. WachacheWako pia [[Uganda]] ya msahriki na wachache wanaishi nchini [[Tanzania]] katika [[Mkoa wa Mara]]. Lugha yao ni [[Kiluo]].
 
Waluo ni mkusanyiko wa kabila la kinilotiki ambalo lilisafiri kutoka Afrika ya Kaskazini kufuata mto [[Nile]] kuja Kusini. Waluo wengi wameenea kandokando ya [[Ziwa Viktoria]] kutokana na utamaduni wao wa uvuvi. Kwa Afrika mashariki utawakuta nchini Sudan, Kenya, Uganda na Tanzania.