Waluo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Waluo''' (pia Wajaluo) ni kabila hasa la [[Kenya]]. Wako pia [[Uganda]] ya msahriki na wachache wanaishi nchini [[Tanzania]] katika [[Mkoa wa Mara]]. Lugha yao ni [[Kiluo]]. Wenyewe hujiita Jaluo na lugha yao Dhulou.
 
Waluo ni mkusanyiko wa kabila la kinilotiki ambalo lilisafiri kutoka Afrika ya Kaskazini kufuata mto [[Nile]] kuja Kusini. Waluo wengi wameenea kandokando ya [[Ziwa Viktoria]] kutokana na utamaduni wao wa uvuvi. Kwa Afrika mashariki utawakuta nchini Sudan, Kenya, Uganda na Tanzania.
 
==Waluo mashuhuri==
*[[Gidi Gidi Maji Maji]] - Waimbaji wa hiphop
*[[Tom Mboya]] - mwanasiasa aliyeuawa 1969
*[[Barack Obama]] - mwanasiasa na seneta wa [[Marekani]] ni mwana wa baba Mluo
*[[Jaramogi Oginga Odinga]] - kiongozi wa Waluo wakati wa uhuru, mwanzilishaji wa chama cha KANU na makamu wa rais wa kwanza
*[[Raila Amolo Odinga]] - mwana wa Jaramogi na mwanasiasa muhimu wa kitaifa
*[[Robert Ouko]] - waziri wa mambo ya nje aliyeuawa 1990
 
{{mbegu}}
 
{{DEFAULTSORT:Luo}}
[[Category:Makabila ya Kenya]]
[[Category:Makabila ya Tanzania]]