Tofauti kati ya marekesbisho "Giuliano Gemma"

18 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
(Giuliano Gemma)
 
 
==Maisha ya Mwanzo na Filamu==
Gemma alizaliwa mjini [[Rome]], [[Italia]]. Awali alikuwa akifanya kazi kama mtu wa kucheza sehemu za hatari katika filamu (Stuntman) kisha akapewa ofa ya kuigiza, na muongozaji wa filamu za kitaliana bwana "Duccio Tessari", ambaye pia alikuwa nyota wa filamu ya Arrivano i titani ya mwaka (1962).
 
Gemma pia aliwahi kuonekana katika filamu ya ''Luchino Visconti Il Gattopardo''. Baadae Gemma akaenda kuwa nyota wa filamu za spaghetti westerns, ambako ndiko alikopata mafanikio makubwa kabisa, kwa kucheza kama shujaa katika filamu kama vile ''A Pistol for Ringo'' au (Una pistola per Ringo), ''Blood for a Silver Dollar'' au (Un dollaro bucato) na ''Day of Anger'' au (I giorni dell'ira).
 
Gemma pia ana binti yake aitwae Vera Gemma, nae pia mwigizaji. Giuliano Gemma pia mchongaji wa masanamu.
 
==Filamu Alicheza Gemma==
* ''Arrangiatevi!]'' (1959)