Giuliano Gemma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 4:
Gemma alizaliwa mjini [[Rome]], [[Italia]]. Awali alikuwa akifanya kazi kama mtu wa kucheza sehemu za hatari katika filamu (Stuntman) kisha akapewa ofa ya kuigiza, na muongozaji wa filamu za kitaliana bwana "Duccio Tessari", ambaye pia alikuwa nyota wa filamu ya Arrivano i titani ya mwaka (1962).
 
Gemma pia aliwahi kuonekana katika filamu ya ''Luchino Visconti Il Gattopardo''. Baadae Gemma akaenda kuwa nyota wa filamu za [[Spaghetti Western|spaghetti westerns]], ambako ndiko alikopata mafanikio makubwa kabisa, kwa kucheza kama shujaa katika filamu kama vile ''A Pistol for Ringo'' au (Una pistola per Ringo), ''Blood for a Silver Dollar'' au (Un dollaro bucato) na ''Day of Anger'' au (I giorni dell'ira).
 
Giuliano mpaka leo hii bado anafanya shughuli zake katika televisheni moja hivi ya nchini Italia. Ingawaje anaoneka kama bado ni mwigizaji wa [[filamu za western]], nchini Italia.