Wamijikenda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Mijikenda''' ("miji au makabila tisa") ni jina la kutaja jumla vikundi tisa kwenye pwani la Kenya. "Kenda" ni Kiswahili asilia kwa namba 9. Vikundi hivi wakati mwingine huitwa koo ...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 00:46, 4 Novemba 2007

Mijikenda ("miji au makabila tisa") ni jina la kutaja jumla vikundi tisa kwenye pwani la Kenya. "Kenda" ni Kiswahili asilia kwa namba 9. Vikundi hivi wakati mwingine huitwa koo wakati mwingine makabila. Watazamiwa kuwa vikundi ya pekee vinavyoshirikiana lugha moja kwa lahaja mbalimbali.

Idadi yao ilikuwa takriban 750,000 manmo mwaka 1980.

Historia

Utamaduni wa Mijikenda ulikua na kuendelea katika mazingira ya miji ya Waswahili lakini tofauti na Waswahili wenyewe. Kwa jumla waliwahi kuitwa na watu wa nje pia "Wanyika" yaani watu wa porini. Makundi haya tisa ni:

Katika kumbukumbu yao wenyewe asili yao ilikuwa eneo la Singwaya au Shungwaya katika kaskazini ya Somalia wakasukumwa kwneda kusi ni na uenezaji wa Waoromo.

Wataalamu wengine hukubali kiini cha kweli katika masimulizi haya wengine huona mijikenda ni kundi lililotokea kutokana na vikundi mablimbali.

Kaya

"Mji" wa jina "Mijikenda" ulikuwa kiasili mahala pa kaya au mahali patakatifu ambako kundi likakusanyika kupeleka maombi mbele wa wazimu. Kaya hizi zatunzwa hadi leo hata kama idadi kubwa wamekuwa ama Waislamu au Wakristo. Ziko kwenye vilima vilivyopo nyuma ya pwani lenyewe.

Vikundi

Wadigo wako kusini kabisa wakiingia hadi Tanzania ya leo.


Viungo vya Nje