Wamijikenda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
==Historia==
Utamaduni wa Mijikenda ulikua na kuendelea katika mazingira ya miji ya Waswahili lakini tofauti na [[Waswahili]] wenyewe.
Kwa jumla waliwahi kuitwa na watu wa nje pia "Wanyika" yaani watu wa porini. Makundi haya tisa ni:
 
Katika kumbukumbu yao wenyewe asili yao ilikuwa eneo la Singwaya au Shungwaya katika kaskazini ya Somalia wakasukumwa kwneda kusi ni na uenezaji wa [[Waoromo]].
Mstari 15:
 
==Vikundi==
Vikundi haya tisa ni:
*[[Wadigo]]
*[[Wachonyi]]