Muhammadu Buhari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Muhammadu Buhari
Muhammadu Buhari
Mstari 1:
'''Muhammadu Buhari''' (Amezaliwa tar. [[17 Desemba]], [[1942]]) alikuwa kiongozi wa kijeshi, rais (7) wa nchini [[Nigeria]], toka [[31 Desemba]] mwaka [[1983]] hadi [[27 Agosti]] mwaka [[1985]]. Mnamo tarehe [[19 Aprili]] ya mwaka [[2003]] alikuwa mgombea urais katika uchaguzi wa kitaifa wa mwaka huo lakini hakuibuka kuwa mshindi.
Muhammadu Buhari alitanguliwa na [[Shehu Shagari]] kisha akafuatiwa na [[Ibrahim Babangida]].
==Viungo vya Nje==