Nabii Nathani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
'''Nabii Nathani''' (kwa [[Kiebrania]] נתן הנביא) aliishi nchini [[Israeli]] kwenye mwaka [[1000]] hivi [[KK]] na habari zake zinasimuliwa katika [[Biblia]], hasa [[2Sam]], [[1Fal]], [[1Nya]] na [[2Nya]].
 
==Unabii wake==
Kadiri ya [[Kitabu cha Pili cha Samueli]], alikuwa [[nabii]] wa [[ikulu]] chini ya [[Mfalme Daudi]]. Ndiye aliyemtabiria [[agano]] la pekee kati ya [[Mungu]] na yeye ([[2Sam]] 7), halafu akamlaumu kwa [[kuzini]] na [[Bethsheba]], na kumuua [[mume]] wake, [[Uria Mhiti]] ([[2Sam]] 11-12).
Kadiri ya [[Kitabu cha Pili cha Samueli]], alikuwa [[nabii]] wa [[ikulu]] chini ya [[Mfalme Daudi]].
 
Ndiye aliyemuarifu kwamba [[Mungu]] hataki amjengee [[hekalu]] la ajabu mjini [[Yerusalemu]], halafu akamtabiria [[agano]] la pekee kati ya [[Mungu]] na yeye na uzao wake, likiendana na [[ahadi]] ya ajabu, yaani kwamba [[ufalme]] wake utadumu milele (2Sam 7).
 
[[Utabiri]] huo wa [[nabii]] Nathani ukaja kuongoza [[tumaini]] la Waisraeli hasa walipodhulumiwa, k.mf. zamani za [[Yesu]] chini ya [[ukoloni]] wa Kirumi, ambapo wote walimtazamia [[mwana wa Daudi]] mwenye kurudisha ufalme wa Israeli.
 
Ndiye pia aliyemlaumu kwa [[uzinifu|kuzini]] na [[Bethsheba]], na kumuua [[mume]] wake, [[Uria Mhiti]]; halafu alimtabiria adhabu mbalimbali, hasa kwamba [[upanga]] hautaondoka nyumbani kwake ([[2Sam]] 11-12).
 
Kadiri ya vitabu vya [[Mambo ya Nyakati]] Nathani aliandika pia habari za [[utawala]] wa Daudi na wa mwanae [[mfalme Solomoni]] ([[1Nya]] 29:29 na [[2Nya]] 9:29), na alishughulikia [[muziki]] wa [[hekalu]]ni ([[2Nya]] 29:25).