Uria Mhiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Kifo cha Uria kilivyochorwa katika kuta za Kikanisa Sistina, Vatikano.]] '''Uria Mhiti''' alikuwa aska...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:45, 10 Machi 2013

Uria Mhiti alikuwa askari shujaa na mwaminifu wa jeshi la mfalme Daudi (mnamo mwaka 1000 KK hivi).

Kifo cha Uria kilivyochorwa katika kuta za Kikanisa Sistina, Vatikano.

Aliuawa vitani kutokana na mpango wa Daudi wa kuficha uzinifu alioufanya na mke wake, Betsheba.

Habari zake zinapatikana katika Kitabu cha Pili cha Samueli, sura ya 11.

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uria Mhiti kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Viungo vya nje

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: