Nabii Yoeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|Nabii Yoeli alivyochorwa na [[Michelangelo katika kuta za Cappella Sistina, Vatikano.]] '''Nabii Yoeli''' ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 07:49, 10 Machi 2013

Nabii Yoeli (kwa Kiebrania יואל, Yoel, maana yake YHWH ni Mungu) alikuwa nabii wa Israeli ya Kale, labda katikati ya karne ya 4 KK.

Nabii Yoeli alivyochorwa na Michelangelo katika kuta za Cappella Sistina, Vatikano.

Ujumbe wake unapatikana katika gombo la Manabii Wadogo la Biblia.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huwa tarehe 19 Oktoba.

{{mbegu-mtu-Biblia}]

Viungo vya nje

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: