Pius Msekwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Pius Msekwa
Pius Msekwa
Mstari 1:
'''Pius Msekwa''' ( Amezaliwa tar. [[9 Juni]], [[1935]]) alikuwa spika wa [[Bunge la Tanzania]] kuanzia mwaka [[1995]] hadi mwaka [[2005]].
==Elimu==
Pius Msekwa alipata Shahada ya Uzamili katika Sayansi ya Siasa kutoka [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] kati ya mwaka 1973-1974, pia Shahada ya Sanaa katika Historia kutoka [[Chuo Kikuu cha Makerere]], Uganda kati ya mwaka 1955-1960 na Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu Huria cha [[Tanzania]].