Enter the Dragon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Enter the Dragon
 
Enter the Dragon
Mstari 18:
}}
 
'''Enter the Dragon''' (《龍爭虎鬥》) pia inajulikana kama. ''The Deadly Three'', [[filamu]] halisi ilkuwa inaitwa ''Blood and Steel'', ni [[filamu]] ya mwaka [[1973]] iliotolewa na kusambazwa na Warner Brothers martial arts film.
 
[[Filamu]] ilichezwa na [[Bruce Lee]], John Saxon na Jim Kelly. Ni filamu ya mwisho ya Bruce Lee kuonekana kabla ya kifo chake. Alikufa siku sita kabla filamu kutolewa.
 
==Washriki==