Negus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Negus''' ni cheo cha kifalme katika historia ya [[Uhabeshi]] au Ethiopia. Maana ya neno hili ni "[[mfalme]]".
 
Cheo hiki kilitumiwa katika historia ya Ethiopia na watawala mbalimbali wa majimbo kwa mfano wa [[Shewa]], [[Gonder]], [[Tigray]] na [[Gojam]]. Mtawala mkuu wa Ethiopia alitumia cheo cha "Negus Negesti" ''(pia: "Negusa Nagast" au mfalme wa wafalme)'' kinacholingana na "[[Kaisari]]".
 
Negus wa mwisho alikuwa tangu [[1928]] [[Ras Tafari Makonnen]] aliyeendela kuwa Kaisari [[Haile Selassie I]] tangu [[1930]]. Alipinduliwa na kuuawa na wanajeshi wa [[Derg]] waliomaliza utawala wa kifalme katika Ethiopia.
 
[[Category:Ethiopia]]