München : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 132 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1726 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Munich skyline.jpg|right|thumb|350px|[[Kanisa kuu]] na jumba la [[manispaa]] ya München]]
[[Picha:Munich - Maria column 04.jpg|thumb|right|[[Nguzo]] ya [[Bikira Maria]].]]
 
'''München''' au kufuatana na uzoefu wa [[lugha]] ya [[Kiingereza]] '''Munich''' (tamka: munik) ni [[mji]] mkubwa wa tatu nchini [[Ujerumani]] baada ya [[Berlin]] na [[Hamburg]]) na [[mji mkuu]] wa [[jimbo]] la [[Bavaria]] lililopo kusini mwa Ujerumani.
Mstari 8:
Milima ya [[Alpi]] iko karibu.
 
Idadi ya wakazi ni 1,320,000, lakini lundikorundiko la [[jiji]] pana wakazi milioni mbili na nusu.
 
München ni kati ya vitovu muhimu vya [[uchumi]], [[utamaduni]] na [[sayansi]] vya Ujerumani.