Madhara yasiyokusudiwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho kulingana na mjadala.
No edit summary
Mstari 1:
'''Madhara yasiyolengwa''', '''Uharibifu wa nyongeza''', au '''Uharibifu wa Ziada''' (kutoka [[Kiingereza]]: '''Collateral damage''') ni istilahi ya kutaja tukio linatokea katika hali ambayo siyo iliyokusudiwa. Istilahi hii hasa hutumika kijeshi katika hali ya kutaja uharibifu wa mali za raia au watu majeruhi ambao si wapiganaji, yaani, raia ya wa kawaida tu.<ref name=Merriam-Webster>{{cite web|url=http://www.merriam-webster.com/dictionary/collateral%20damage |title=collateral damage |publisher=[[Merriam-Webster]]}}</ref>
 
Mfano ni wakati wa matumizi ya [[silaha]] kama [[mzinga]], [[bomu]] au [[kombora]] dhidi ya wanajeshi adui nyumba za kiraia au watu raia wanaweza kupigwa ama kwa kosa au kutokana na ukali wa mlipuko.
 
==Marejeo==