Historia ya Wapare : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
jamii
No edit summary
Mstari 58:
 
[[Jamii:Wapare]]
==MILA NA DESTURI MBAYA ZA WAPARE==
Kulikuwa na imani potovu kuwa mwanamke akizaa watoto mapacha analeta mkosi na laana kwenye ukoo,kwa hiyo watoto hao waliuwawa kwa kutupwa au kuangushwa kwenye jiwe kubwa ambalo lilikuwa linaitwa malameni kule Mbaga - Pare ya kusini,hadi leo hii jiwe hilo lipo.