Historia ya Wapare : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 60:
==MILA NA DESTURI MBAYA ZA WAPARE==
Kulikuwa na imani potovu kuwa mwanamke akizaa watoto mapacha analeta mkosi na laana kwenye ukoo,kwa hiyo watoto hao waliuwawa kwa kutupwa au kuangushwa kwenye jiwe kubwa ambalo lilikuwa linaitwa malameni kule Mbaga - Pare ya kusini,hadi leo hii jiwe hilo lipo.
=IJUE MITO MIKUBWA YA UPARENI
Kuna mto Yongoma,Hingilili,Mhoke vuta,Nakombo,Rika,mweta nano hii mito yote iko Pare ya kusini.
=MAZIWA NA MABWAWA=
Kuna ziwa Jipe,bwawa la Nyumba ya Mungu na Kalemawe n.k
|