Antonio Casas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Antonio Casas
 
Antonio Casas
Mstari 19:
'''Antonio Casas''' (Alizaliwa tar. [[11 Novemba]], [[1911]] mjini A Coruña, Galicia, - akafariki dunia tar. [[14 Februari]] mwaka [[1982]] mjini [[Madrid]], [[Hispania]]) alikuwa mchezaji mpira wa miguu wa [[Hispania]], aliekuja kuwa mwigizaji wa filamu kati ya mwaka [[1941]] na [[1982]] kifo chake kilivyowadia.
 
Casas awali aliaza kama mchezaji [[Mpira wa Miguu|mpira wa miguu]] lakini baadae akajiingiza katika masuala ya ugizaji wa filamu katika mnamo mwaka 1941 na akafanya karibuni filamu 170 za kikawaida na TV pia hadi 1982. Casas alionekana katika filamu iliongozwa na [[Sergio Leone]] zile za Spaghetti Western, filamu yenyewe ilikuwa ile ''The Good, the Bad and the Ugly'' mnamo mwaka [[1966]], ni filamu ambayo iliwahi kuchaguliwa kuwa itakuwa bora kwa miaka yote.
 
Mnamo miaka ya [[1970]] alifanya kazi katika televisheni lakini akarudi tena katika uwanja filamu baada ya [[1975]] akuachia tena shughuliza uigizaji hadi kifo chake kilivyowadia mwaka [[1982]].