Elki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ChriKo moved page Muusi to Elki over redirect: Jina "elki" linatoka jina la Kiingereza "elk" ambalo ni jina la zamani zaidi kuliko "moose".
Masahihisho
Mstari 1:
{{Uainishaji
| rangi = #D3D3A4
| jina = MuusiElki
| picha = Moose_superior.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = '''MuusiElki''' (''Alces alces'')
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small>
Mstari 19:
}}
 
'''MuusiElki''' (kutoka [[Kiingereza|Kiing.]]: ''[[w:Moose|mooseelk]]'', Amerika Kaskazini) au '''elki wa Ulaya''' (kutoka [[Kiingereza|Kiing.]]: ''elk'', Ulaya) ([[Kilatini|Kilat.Kisayansi]]: ''Alces alces'') ni spishi kubwa inayoishi ya familia ya [[kulungu (Cervidae)|kulungu]]. MuusiElki wanajulikana kwa vichwa vyao vikubwa na mashada yao ya pembe zinazogawanyika kama vidole vya kiganja; spishi nyingine za familia huwa na mashada ya pembe zinazogawanyika katika matawi. Kwa kawaida muusielki huishi misituni mwa kaskazini na misitu yenye miti ya kupukutika majani yake ya [[Nusudunia ya Kaskazini]] katika hali za nchi za wastani hadi maeneo ya chini ya [[Aktiki]]. Kutokana na uwindaji, muusielki wana makazi madogo zaidi. Sasa muusielki wengi wanapatikana [[Kanada]], [[Alaska]], [[Skandinavia]] na [[Urusi]]. Wao hula mimea ya ardhini na majini. Wanyama ambao huwinda muusielki ni [[mbwa-mwitu]], [[dubu]] na [[binadamu]]. Tofauti na spishi zingine za kulungu, muusielki ni wanyama pweke na huwa hawaishi na kundi la muusielki wengine. Ingawa muusielki kwa kawaida hutembea polepole, wakasirishwapo muusielki waweza kuwa mkali na kusonga haraka. Wakati wa [[demani]] iliye majira yao ya kupandana, madume wa spishi hupigana na madume wengine na kumshindania jike.
 
== Etimolojia na jina ==
MuusiElki mwenye jina la kisayansi ''Alces alces'' hujulikana kama ''elk'' "elki" katika [[Uingereza]], na [[Amerika Kaskazini]] kama ''moose'' "muusi"katika [[Amerika Kaskazini]].
 
Jina la [[Kiingereza cha Kibritania]] linatoka lugha zingine za [[Kihindi-Kizungu]], kwa mfano, ''elg'' kwa [[Kideni]]/[[Kinorwe]], ''älg'' kwa [[Kiswidi]], ''Elch'' kwa [[Kijerumani]] na ''łoś'' kwa [[Kipoli]]. Hata hivyo, katika Amerika Kaskazini neno la ''elk'' "elki" hutumika ili kurejelea mnyama tofauti, [[wapiti|elki wa Kanada]] au pia huitwa [[wapiti]] (''Cervus canadensis'') ambaye ni mdogo zaidi na kisanaba tofauti na [[kulungu mwekundu]] wa Ulaya wa kati na magharibi.
Mstari 28:
Neno la ''moose'' kwanza liliingia Kiingereza mwaka wa 1606, na hutoka lugha za [[Kialgonkini]] ([[Kinarragansett]] ''moos'' na [[Kiabenaki cha Mashariki]] ''mos'').
 
MuusiElki dume aliyekua hurejelewa kama [[fahali]], na muusielki jike ni [[dachia]], na mtoto wa muusielki ni [[ndama]].
 
== Makazi na eneo ==
 
=== Amerika Kaskazini ===
Katika Amerika Kaskazini, muusielki huishi Kanada (mbali na Aktiki), Alaska, Uingereza Mpya, [[Milima yenye Miamba]], [[Minesota]], [[Peninsula ya Juu ya Michigan]] na [[Kijisiwa cha Kifalme]] cha [[Ziwa Kubwa]]. Katika eneo hili kubwa, kuna nususpishi zingi. Katika magharibi ya bara ya Amerika Kaskazini, idadi za muusielki zinafikia kaskazini mwa Kanada ([[Kolumbia ya Kibritania]] na [[Alberta]]) na spishi wengine wamepatikana milimani mwa [[Utah]] na [[Kolorado]].
 
=== Ulaya ===
Katika Ulaya, muusielki wanapatikana katika [[UnorweNorwe]], [[Uswidi]], [[Ufini]], [[Urusi]], [[UpoliPolandi]] na [[nchi za KibaltikiKibalti]], na muusielki wachache katika [[Ucheki]], [[Belarusi]] na [[Ukraini]].
 
[[Jamii:Ng'ombe na jamaa]]