Marianne Koch : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
}}
 
'''Marianne Koch''' (Amezaliwa tar. [[19 Agosti]], [[1931]]) nani daktari wa tiba na mwigizaji filamu mstaafu wa [[Ujerumani]], aliyecheza filamu kati ya miaka ya [[1950]] na [[1960]], anafahamika zaidi kwa mwonekano wake katika [[Filamu za Western|filamu za western]] ya [[Italia]], maarufu kama [[Spaghetti Westerns|spaghetti westerns]], na filamu za kipelelezi za miaka ya [[1960]].
 
Marianne ameonakana katika zaidi ya filamu 65 kati ya mwaka [[1950]] na [[19711970]] zikiwemo na filamu ziliongozwa na [[Sergio Leone]], ambayo ni A Fistful of Dollars ya mwaka [[1964]] ambayo ndio picha inayoneka amekaa na [[Clint Eastwood]].
 
1970 alipokuwa na umri wa miaka 39 akaamua kuacha uigizaji filamu akarudi chuo kikuu na kumaliza masomo yake ya tiba. 1974 akapata cheo cha daktari na kuanzisha kliniki yake mjini [[München]]. Alistaafu 1997. Ana watoto wawili wa kiume.