Komori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q970 (translate me)
No edit summary
Mstari 13:
government_type = [[Shirikisho la Jamhuri]]|
leader_titles = [[Rais wa Komori|Rais]] |
leader_names = [[AzaliIkililou AssoumaniDhoinine]] |
area_rank = ya 167 |
area_magnitude = 1_E9 |
Mstari 58:
* Pesa: 1 Frank ya Komori (FC) = 100 centimes. 1€ = 491,9677 FC
* Sikukuu ya Taifa: 4. Julai
* Dini: 90 % [[Waislamu]] [[Wasunni]], 2 % [[Wakatoliki]], 8% Wamethodisti.
== Jiografia ==
Line 71 ⟶ 70:
 
== Watu ==
Watu wa Komori ni mchanganyiko wa Waarabu, Wamadagaska, Waafrika wa bara ambao mababu walikuwa watumwa, Wahindi na Wazungu kadhaa. Kutokana na uhaba wa ajira Wakomori wengi wamehamia nje hasa Madagaska. Wakazi wengi ni [[Waislamu]] (98%, hasa [[Wasunni]]), wakifuatwa na [[Wakristo]] (2%). NusuKaribu nusu ya watu wote hawajui kusoma.
 
== Historia ==
Line 92 ⟶ 91:
Katika uchaguzi ya mwaka 2002 rais Azali Assoumani alichaguliwa kutoka kisiwa cha Ngazidja (Komori Kuu). Katika uchaguzi wa 2006 rais amechaguliwa kati ya wagombea kutoka kisiwa cha Anjouan. Wananachi wa Anjouan walipiga kura ya kwanza. Wagombea watatu wenye kura nyingi wameteuliwa na kusimamishwa mbele ya wapiga kura wa visiwa vyote watakaomchagua rais wa jamhuri. Rais wa mwaka 2010 anatakiwa kutoka katika kisiwa cha Moheli, baadaye tena rais kutoka Ngazidja, n.k.
 
Katika uchaguzi wa 20062010 ndiye [[AhmedIkililou Abdallah Mohamed SambiDhoinine]] aliyepata kura nyingi kiasi cha 58% baada ya kempeni alipoahidi kupambana na ufisadi, kuwapatia wananchi ajira na kujenga nyumba kwa ajili ya maskini.
 
== Uchumi ==