Ulanzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ulanzi, ni pombe ambayo hugemwa kwenye vitindi, au kwa jina lingine kwenye mianzi midogo midogo ambayo haijakomaa, pindi tu, inapochomoza kutoka ardhini baada y...'
 
ULANZI KWA WAPANGWA.
Mstari 1:
Ulanzi, ni pombe ambayo hugemwa kwenye vitindi, au kwa jina lingine kwenye mianzi midogo midogo ambayo haijakomaa, pindi tu, inapochomoza kutoka ardhini baada ya siku chahache. Ulanzi unapogemwa kwa mara ya kwanza huwa mtamu kama mtobe au juisi, lakini unapomaliza siku mbili, tatu au nne, huwa mkali. Ulanzi ni pombe ya asili sana kwa wapangwa, mana nia jadi kwa wapangwa kunywa ulanzi, ambapo hata watoto wadogo hupewa ulanzi kama juisi. Ulanzi, kwa wapangwa ni pombe ambayo inaheshimika sana, mana hata wanapokwenda shambani, huenda na ulanzi, na kama ukimpeleka Mfanyakazi shambani bila ulanzi, huwa anakaidi kufanya kazi, hadi apewe ulanzi.
pia, hata katika harusi, sherehe za kimira kama vile kujengea makaburi(MAHOKA), Mira za kumurudisha mjane nyumbani (NGOTORA), miara za kuabudu miungu, n.k, Ulanzi ndio huwa unatumika hasahasa kuliko pombe nyingine.
Kwahiyo,Wapangwa wote kama vile KINA WILLAH, HAULE, MULIGO, MTWEVE, NGAIRO, MWINUKA,n.k, ambao bado wanatii mira na desturi zao, Ulanzi kwao ni jadi. By, Lewis Linus Willihem Joseph Mpwitti Willah.