Patrice Lumumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q161672 (translate me)
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:PatricelumumbaIISG.jpg|thumb|Patrice E. Lumumba]]
'''Patrice Lumumba''' ([[2 Julai]] [[1925]] – [[17 Januari]] [[1961]]) alikuwa mwanasiasa mwanamapinduzi wa nchi ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Mwaka wa 1958 alikuwa miongoni mwa waanzishaji wa Chama cha Taifa la Kongo (kwa [[Kifaransa]]: ''[[Mouvement National Congolais]]''). Mwaka wa 1960 alipata kuwa [[Waziri Mkuu]] wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuongoza harakati za kugombea uhuru toka kwa utawala wa kikoloni wa [[Ubelgiji|Wabelgiji]]. Baada ya miezi miwili tu ya kuwa Waziri Mkuu, Lumumba alipinduliwa na baadaye kutiwa ndani kabla ya kuuawa katika mazingira ya kutatanisha katika eneo la [[Katanga]] upande wa kusini wa Kongo.
==Hadi kufukia uwaziri Mkuu==
 
===Early life and career===
Patrice Lumumba alizaliwa na François Tolenga Otetshima, na Julienne Wamato Lomendja, ambao walikuwa wafugaji katika kijiji cha [[Katakokombe]] katika mkoa wa [[Kasai region|Mkoa waKasai]] katka jimbo la [[Belgian Congo| Kanya lwaunga]].<ref name="Kanyarwunga4">{{cite book
| last = Kanyarwunga
| first = Jean I N
| title = République démocratique du Congo : Les générations condamnées : Déliquescence d'une société précapitaliste
| publisher = Publibook
| year = 2006
| location = Paris
| page = 76
| isbn = 9782748333435}}</ref> alikuwa mwanachama wa [[Tetela people|Kikundi cha nidhamu]] jina harisi la Patrice Lumumba lilikuwa [[Élias Okit'Asombo| Élias Okit'Asombo]]. Jina hili likiwa na maana "heir of the cursed"ambalo lilitokana na neon la Tetela ''okitá/okitɔ́'' ('Mrithi')<ref jina=Hagendorens>{{cite book
| last = Hagendorens
| first = MGR J
| title = Kamusi ya -Kifaransa
| publisher = Ceeba Publications
| year = 1975
| location = Bandundu
| pages = 275–76
| isbn = }}</ref> na ''asombó'' ('cursed or bewitched people who will die quickly').<ref name=Hagendorens2>{{cite book
| last = Hagendorens
| first = MGR J
| title = Kamusi ya –Kifaransa
| publisher = Ceeba Publications
| year = 1975
| location = Bandundu
| pages = 309, 371
| isbn = }}</ref> He had three brothers (Charles Lokolonga, Émile Kalema, and Louis Onema Pene Lumumba) and one half-brother (Tolenga Jean).<ref name="Kanyarwunga4">{{cite book
| last = Kanyarwunga
| first = Jean I N
| title = République démocratique du Congo : Les générations condamnées : Déliquescence d'une société précapitaliste
| publisher = Publibook
| year = 2006
| location = Paris
| page = 76
| isbn = 9782748333435}}</ref>Alilelewa katika makuzi ya familia ya Kanisa Katolic, alisoma katika shule ya msingi ya Protestant , Shule ambayo ilikuwa inamilikiwa nawamisionari wa Kanisa Katoriki, na baadaye alipata mafunzo katika chuo kimoja cha serikali , alijishindia kozi mbalimbali na kasha kuajiliwa kupata kazi katika mji wa [[w:Léopoldville| Léopoldville]] ambao kwa sasa unajulikana kwa jina la [[Kinshasa| Kinshasa]]) na baadaye katika mji wa [[w:Stanleyville| Stanleyville]] ambao nao kwa sasa unajulikana kwa jina la[[w: Kisangani|Kisangani]] ambapo alifanya kazi kama kalani wa posta na pia alikuwa akifanya kazi ya uuzaji wa bia kwa wasafiri. Mnamo mwaka 1951 alimuoa [[w:Pauline Opangu |Pauline Opangu ]]. Mwaka 1955 Lumumba alipanda cheo na kuwa ''Cercles'' wa mji wa [[Stanleyville| Stanleyville]] na baadaye alijiunga na chama cha [[w:Liberal Party (Belgium)|Liberal Party of Belgium]], ambapo alifanya kazi ya uharariri na usambazaji wa kijarida cha chama cha [[w:Liberal Party (Belgium)|Liberal Party of Belgium]]. Na baadaye alifanya ziara ya mafunzo ya wiki tatu nchini Uberijiji,mwaka 195 alikamatwa na kushitakiwa kosa la ubadhilifu na kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kifungo cha nje na kasha baadaye wakili wa baada ya wakili wa kibaljiji kuthibitisha kwamba Lumumba amesharejesha zile fedha aliachiliwa huru mnamo mapemwaka 1956. Na baada ya kuachiliwa kwake alisaidiwa na kuanzisha chama chama [[w:Mouvement national congolais]] (MNC) mnamo. Mwaka 1958, alichaguliwa kuwa Rais wa chama hicho. Mnamo mwaka 1958 mwezi wa desemba Lumumba na wenzake walikiwakilisha chama chao katika mkutano wa [[w:All-African Peoples' ConferenceBaraza la watu wote wa Africa]] mjini [[w:Accra| Accra]], [[Ghana|Ghana]], katika mkutano huo wa Desemba wa [[w:Pan-Africanism|Pan-African]] uliokuwa chini ya Rai wa Ghana hayati [[w:Kwame Nkrumah| Kwame Nkrumah]] , Ndg Lumumba ambaye alionekana kuongea lugha nyingi zikiwemo za Tetela, French, Lingala, kiswahili, na Tshiluba alijitambulisha ziai dhidi ya imani yake kwa bara la afrika
.<ref name=Kanyarwunga4>{{cite book
| last = Kanyarwunga
| first = Jean I N
| title = République démocratique du Congo : Les générations condamnées : Déliquescence d'une société précapitaliste
| publisher = Publibook
| year = 2006
| location = Paris
| page = 76
| isbn = 9782748333435}}</ref>
 
===Leader of MNC===
Mnamo mwezi wa octoba, mwaka 1959, Lumumba, kama kiongozi wa chama cha MNC, alikamatwa kwa kosa la kuchochea vurugu zakupinga serikali ya kikoloni katika mji wa [[w:Stanleyville| Stanleyville]] ambapo watu takriban 30 waliuawa na eye alihukumiwa kwenda jela cha miezi sita. Mnamo tarehe 18 ya mwezi January 1960 ambayo ilikuwa siku ya majaribo na hapohapo katika siku ya kwanza ya mkutano wa wa kuzungumzia hatma ya nchi ya kidemokrasia ya Congo itakumbukwa kwamba licha ya Lumumba kuwa jela katika kipindi hicho cha chake cha MNC kilifanikiwa kuwashawishi wananchi kwenye uchaguzi uliofanyika mwezi Decemba na kushinda katika jamhuri ya Congo. Kutokana na nguvu ya umma iliyokuwa ikifanywa na wananchi wa Congo dhidi ya kuachiliwa kwa Lumumba kutoka kila kona, aliachiliwa na kuruhusiwa kuhudhuria katika mkutano wa [[w:Brussels| Brussels]]. Mkutano huo ulifikia kilele tarehe 27, June 1960 kwa azimio la uhuru wan chi ya Congo na kupanga uchaguzi tarehe 30 ya mwaka huo huo wa 1960 [[Belgian Congo general election, 1960|Azimio la Uchaguzi wa Congo 11–25 May 1960]]. Lumumba na chama chake cha MNC walipata ushindi uliowawezesha kuunda serikali kwa tangazo la tarehe 23 June 1960 na Patrice Lumumba anapata cheo cha uwaziri mkuu akiwa na umri wa miaka 34 na [[w:Joseph Kasa-Vubu| Joseph Kasa-Vubu]] akiwa ndie Rais wake wa kwanza. Kwa mujibu wa katiba ya Congo mnamo tarehe 24 June Serikali ilipitisha kura ya kijasiri ambayo iliamuliwa na baraza la maseneta kwamba tarehe 24 iwe ni siku ya ya kuadhimisha uhuru wa Congo.
 
Maadhimisho ya uhuru wa Congo kwa mra ya kwanza yalifanyika mnamo tarehe 30 June 1960 ambapo maadhim,isho hayo yalihudhuriwa pia na Independence Day was celebrated on 30 June in a ceremony attended by many dignitaries including [[w:Baudouin of Belgium|Mfarme Baudouin]]wa [[w:Ubeljiji|Ubeljiji]] pamoja na vyombo mbalimbali vya habari kutoka nchi za nje. Lumumba alitoa hotuba yake kama Waziri mkuu katika nchi huru japo yeyre alikuwa ameenguliwa katika ratiba ya shughuli hiyo.<ref jina="hotuba">{{cite web|title =hotuba ya siku ya uhuru|publisher=Africa within|url=http://www.africawithin.com/lumumba/independence_speech.htm| accessdate=15 July 2006}}</ref> The speech of Belgian King [[Baudouin]] praised developments under [[colonialism]], his reference to the "genius" of his great-granduncle [[w:Léopold II of Belgium| Léopold II of Belgium]] glossing over atrocities committed during the [[Congo Free State]].<ref name="ac"/> Mfalme aliendelea kutoa masharti, "aliwataka kuto kufanya mabadiliko yoyote mpaka hapo wao watakapo ona kwamba wanaweza kufanya vyema, na kwamba hawakutakiwa kufanya mabadiliko yoyote yalika bidhiwa na kwamba tutaendelea kutoa ushauri. "<ref name=chukw>Kamalu, Chukwunyere. ''Kitabu cha historia ya wafrica –Africa nyeusi kutoka katika uharisia wa mwanadamu''.ukurasa wa 115</ref> Lumumba aliufahamisha umma kwamba uhuru uliotolewa na wabeljiji sio haukuja hivihivi:<ref name=chukw />
 
<blockquote>kwa uhuru huu wa Congo hata kama tunasherehekea leo na wabeljiji , nchi rafiki ambayo tupo sawa kwa sawa, hakuna mkongoman hata mmoja ambaye atasahau kwamba vita waliyipigana hatimae wakashinda wamaeshinda, kwa mapambano yaliyokuwayakiendelea, an ardent and idealistic fight, mapambano ambayo kwamba watu tulijitoa ambayo kwayo watu walikuwa tayari kwa lolote hata kumwaga damu, kwa namna kwa hakika yalikuwa mapambano maukufu na yalikuwa na mwelekeo wa kukomesha utumwa ambao ulikuwa ukiendeshwa dhidi yetu kwa nguvu.<ref name=chukw /></blockquote>
 
==Filamu==