Patrice Lumumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 47:
| isbn = 9782748333435}}</ref>
 
===LeaderUongozi ofwa MNC===
Mnamo mwezi wa octoba, mwaka 1959, Lumumba, kama kiongozi wa chama cha MNC, alikamatwa kwa kosa la kuchochea vurugu zakupinga serikali ya kikoloni katika mji wa [[w:Stanleyville| Stanleyville]] ambapo watu takriban 30 waliuawa na eye alihukumiwa kwenda jela cha miezi sita. Mnamo tarehe 18 ya mwezi January 1960 ambayo ilikuwa siku ya majaribo na hapohapo katika siku ya kwanza ya mkutano wa wa kuzungumzia hatma ya nchi ya kidemokrasia ya Congo itakumbukwa kwamba licha ya Lumumba kuwa jela katika kipindi hicho cha chake cha MNC kilifanikiwa kuwashawishi wananchi kwenye uchaguzi uliofanyika mwezi Decemba na kushinda katika jamhuri ya Congo. Kutokana na nguvu ya umma iliyokuwa ikifanywa na wananchi wa Congo dhidi ya kuachiliwa kwa Lumumba kutoka kila kona, aliachiliwa na kuruhusiwa kuhudhuria katika mkutano wa [[w:Brussels| Brussels]]. Mkutano huo ulifikia kilele tarehe 27, June 1960 kwa azimio la uhuru wan chi ya Congo na kupanga uchaguzi tarehe 30 ya mwaka huo huo wa 1960 [[Belgian Congo general election, 1960|Azimio la Uchaguzi wa Congo 11–25 May 1960]]. Lumumba na chama chake cha MNC walipata ushindi uliowawezesha kuunda serikali kwa tangazo la tarehe 23 June 1960 na Patrice Lumumba anapata cheo cha uwaziri mkuu akiwa na umri wa miaka 34 na [[w:Joseph Kasa-Vubu| Joseph Kasa-Vubu]] akiwa ndie Rais wake wa kwanza. Kwa mujibu wa katiba ya Congo mnamo tarehe 24 June Serikali ilipitisha kura ya kijasiri ambayo iliamuliwa na baraza la maseneta kwamba tarehe 24 iwe ni siku ya ya kuadhimisha uhuru wa Congo.