Patrice Lumumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 38:
| location = Paris
| page = 76
| isbn = 9782748333435}}</ref>Alilelewa katika makuzi ya familia ya[[w:Roman Catholic Kanisa| Katolic Kikatolic]], alisoma katika shule ya msingi ya [[w:school of Protestant|Shule ya Protestant]] , Shule ambayo ilikuwa inamilikiwa nawamisionari wa Kanisa Katoriki, na baadaye alipata mafunzo katika chuo kimoja cha serikali , alijishindia kozi mbalimbali na kashakisha kuajiliwa, kupataalipata kazi katika mji wa [[w:Léopoldville| Léopoldville]] ambao kwa sasa unajulikana kwa jina la [[w:Kinshasa| Kinshasa]]) na baadaye katika mji wa [[w:Stanleyville| Stanleyville]] ambao nao kwa sasa unajulikana kwa jina la[[w: Kisangani|Kisangani]] ambapo alifanya kazi kama kalani wa posta na pia alikuwa akifanya kazi ya uuzaji wa bia kwa wasafiri. Mnamo mwaka 1951 alimuoa [[w:Pauline Opangu |Pauline Opangu ]]. Mwaka 1955 Lumumba alipanda cheo na kuwa ''Cercles'' wa mji wa [[w:Stanleyville| Stanleyville]] na baadaye alijiunga na chama cha [[w:Liberal Party (Belgium)|Liberal Party of Belgium]], ambapo alifanya kazi ya uharariri na usambazaji wa kijarida cha chama cha [[w:Liberal Party (Belgium)|LiberalChama Partycha ofKiliberali Belgiumcha Ubeljiji]]. Na baadaye alifanya ziara ya mafunzo ya wiki tatu nchini UberijijiUbeljiji,mwaka 1951956 alikamatwa na kushitakiwa kosa la ubadhilifu na kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kifungo cha nje na kasha baadaye wakili wa baada ya wakili wa kibaljiji kuthibitisha kwamba Lumumba amesharejesha zile fedha aliachiliwa huru mnamo mapemwaka 1956. Na baada ya kuachiliwa kwake alisaidiwa na kuanzisha chama chama [[w:Mouvement national congolais]] (MNC) mnamo. Mwaka 1958, alichaguliwa kuwa Rais wa chama hicho. Mnamo mwaka 1958 mwezi wa desembaDesemba Lumumba na wenzake walikiwakilisha chama chao katika mkutano wa [[w:All-African Peoples' ConferenceBaraza la watu wote wa Africa]] mjini [[w:Accra| Accra]], [[Ghana|Ghana]], katika mkutano huo wa Desemba wa [[w:Pan-Africanism|Pan-African]] uliokuwa chini ya Rai wa Ghana hayati [[w:Kwame Nkrumah| Kwame Nkrumah]] , Ndg Lumumba ambaye alionekana kuongea lugha nyingi zikiwemo za Tetela, French, Lingala, kiswahili, na Tshiluba alijitambulisha ziai dhidi ya imani yake kwa bara la afrika
.<ref name=Kanyarwunga4>{{cite book
| last = Kanyarwunga