Patrice Lumumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 3:
 
'''Patrice Lumumba''' ([[2 Julai]] [[1925]] – [[17 Januari]] [[1961]]) alikuwa mwanasiasa mwanamapinduzi wa nchi ya [[w:Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Mwaka wa 1958 alikuwa miongoni mwa waanzishaji wa Chama cha Taifa la Kongo (kwa [[w:Kifaransa|Kifaransa]]: ''[[w:Mouvement National Congolais|Mouvement National Congolais]]''). Mwaka wa 1960 alipata kuwa [[Waziri Mkuu]] wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuongoza harakati za kugombea uhuru toka kwa utawala wa kikoloni wa [[w:Ubelgiji|Wabelgiji]]. Baada ya miezi miwili tu ya kuwa Waziri Mkuu, Lumumba alipinduliwa na baadaye kutiwa ndani kabla ya kuuawa katika mazingira ya kutatanisha katika eneo la [[w:Katanga|Katanga]] upande wa kusini wa Kongo.
==Hadi kufukiakufikia uwaziri Mkuu==
 
===Early life and career===