Atanasi wa Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 47 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q44024 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sainta15.jpg|thumb|300px|right|[[Picha takatifu]] ya [[Atanasi wa Aleksandria]], [[Askofu mkuu]] ([[Patriarki]]) wa [[Aleksandria]] na mtetezi mkuu wa [[umungu]] wa [[Yesu Kristo]].]]
[[Picha:StAthanasiusShrineinStMarkCathedralCairo.jpg|thumb|right|[[Patakatifu]] pa Atanasi (panapotunza [[masalia]] yake) chini ya [[kanisa kuu]] la [[MarkoMtakatifu mtakatifuMarko]] huko [[Kairo]] (Misri).]]
'''Atanasi wa Aleksandria''' anayeitwa ''Mkuu'' ([[295]] hivi - [[2 Mei]] [[373]]) alikuwa [[Patriarki]] wa [[Kanisa Katoliki]] la [[madhehebu]] ya [[Misri]] na ndiye aliyetetea kuliko wote [[imani sahihi]] ya [[Kanisa]] kati ya [[mtaguso mkuu|mitaguso ya kiekumenemikuu]] miwili ya kwanza.
 
AnaheshimiwaKwa mafundisho yake na kwa upendo wake motomoto kwa Kristo, anaheshimiwa na Wakatoliki, [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kama [[mtakatifu]] na mmojawapo kati ya ma[[babu wa Kanisa]] walio muhimu zaidi. Anakumbukwa pia katika kalenda ya [[Waanglikana]] na [[Walutheri]]. Wakatoliki walimuongezea sifa ya [[mwalimu wa Kanisa]].
 
Wote wanaadhimisha [[sikukuu]] yake kila tarehe [[2 Mei]].
Mstari 13:
Alikulia katika [[jiji]] hilo, ambalo wakati huo lilikuwa likiongoza kimataifa upande wa [[ustaarabu]] na [[elimu]].
 
Inaonekana tangu ujanani alihusiana na wamonaki wa jangwa la Tebais, na miaka 356-362 aliishi kati ya wamonaki.
Upande wa dini, baada ya dhuluma za serikali ya Dola la Roma kwisha, Wakristo wa Misri walikuwa na [[chuo]] muhimu cha [[katekesi]], lakini kulikuwa pia na maelekeo ya hatari, hasa wafuasi wengi wa [[Gnosis]], mbali na wale wa [[dini za jadi]] zilizoabudu [[miungu]] mingi.
Maisha yote ya Atanasi yanahusika na juhudi kubwa za [[Kanisa Katoliki]] kwa ajili ya kufafanua na kutetea [[imani sahihi]] juu ya [[Yesu]] na juu ya [[Utatu]].
 
Akiwa badoMwaka [[shemasi319]] alimsindikiza [[askofu]] wake [[Aleksanda wa Aleksandria]] kwenyealimpa [[Mtagusodaraja takatifu]] ya [[ushemasi]] na kumfanya katibu wake. Akiwa bado shemasi, mwaka 325 alimsindikiza na kumsaidia askofu wake Aleksanda wa kwanzaAleksandria kwenye [[Mtaguso I wa Nisea]] mwaka [[325]] ulioitishwa na [[kaisari]] [[Konstantino Mkuu]] kujadili mafundisho ya [[padri]] wa Aleksandria, jina lake [[Arios]], kuhusu [[dhati]] ya [[Yesu Kristo]]. Huyo alisema [[Neno wa Mungu]] si Mwanae halisi, bali [[kiumbe]] tu, kwa namna fulani cha Kimungu. Hivyo alikataa uwezekano wa [[binadamu]] kushiriki [[umungu]] kwa njia ya [[Kristo.
 
Dhidi ya Arios, aliyefuatwa mapema na watawala na maaskofu wengi, huo [[Mtaguso mkuu]] wa kwanza ulitumia neno la [[Kigiriki]] ὁμοούσιος (''homoousios'', yaani "wa dhati ileile" ya [[Baba]]), ili kukiri kwa namna wazi usawa kamili wa [[Mungu Baba]] na [[Mwana]] aliyezaliwa naye bila ya kuumbwa.
 
Akishikilia msimamo huo moja kwa moja Atanasi alipaswa kustahimili dhuluma za serikali, hata akafukuzwa katika [[dayosisi|jimbo]] lake mara tano na kupelekwa uhamishoni tangu miaka michache baada ya kuchaguliwa [[Patriarki]] wa Aleksandria na wa Misri yote mwaka [[328]] (alipokuwa na umri wa miaka 30 tu) hadi mwaka [[362366]]., ambapo kaisari alilazimishwa na [[umati]] amrudishe Aleksandria.
 
Ushindani wake na [[serikali]] ulifikia kilele alipokataa agizo la Konstantino la kumrudisha Arios kwenye [[ushirika]].
== Maandishi ==
 
Katika mapambano yake aliungwa mkono na [[Sinodi ya Roma]] ya mwaka [[341]] na ile ya [[Sardica]] ya mwaka [[343]].
 
Hatimaye aliona ushindi wa moja kwa moja wa imani ya kweli.
 
== Maandishi ==
Pamoja na kyakeupatwa na [[vurugu]] nyingi maishani, Atanasi aliandika sana: [[hotuba]] na [[barua]], lakini pia vitabu juu ya [[imani]], vya [[historia]], vya [[ufafanuzi]] wa [[Biblia]], pamoja na [[maisha ya Kiroho]].
 
Kitabu kilichoathiri zaidi maisha ya Kanisa labda ni [[Maisha ya Antoni Abati]] ambacho kilieneza [[umonaki]] haraka mashariki na vilevile magharibi.
 
==Teolojia yake==
Atanasi hakuwa mtu wa nadharia tu, bali hasa [[mchungaji]] aliyeona mapema [[hatari]] iliyofichika katika [[uzushi]] wa Arios, yaani kurudia [[Upagani]] wa Kigiriki. Hamu yake ilikuwa kulinda kikamilifu “[[mapokeo]], mafundisho na imani ya [[Kanisa Katoliki]] ambayo [[Bwana]] aliitoa, [[Mitume wa Yesu|Mitume]] waliihubiri na mababu waliitunza”.
 
Hivyo alitetea uwepo wa [[Utatu]] “kikwelikweli” na kusisitiza kwamba Neno hakuumbwa bali alizaliwa na kuwa na umungu uleule wa Baba. Mwana ana utimilifu wa umungu na ni Mungu kamili. Baba na Mwana wana hali ileile ya [[milele]]. Hiyo ni muhimu kuhusu [[ukombozi]], kwa sababu tusingeweza kuokolewa bila Mungu kujifanya mtu. Ndiyo sababu [[Bikira Maria]] anaweza kuitwa [[Mama wa Mungu]]. [[Roho Mtakatifu]] hawezi kuwa kiumbe ndani ya Utatu, bali ni Mungu.
 
== Orodha ya maandishi ==
* Dhidi ya Wapagani
* Neno aliyefanyika mwili