Mama Teresa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 97 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q30547 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:MotherTeresa 090.jpg|thumb|250px]|Mama Teresa mnamo mwaka 1990.]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:DPAG 2010 38 Mutter Teresa.jpg|thumb|right|[[Stempu]] iliyotelewa [[Ujerumani]] kwa [[ukumbusho]] wa miaka 100 tangu kuzaliwa kwake ([[2010]]); chini ya picha yake yamo maneno yake: ''«[[Ufukara]] haukuumbwa na [[Mungu]]. Sisi ndio tuliousababisha, wewe na mimi kwa njia ya [[umimi]] wetu.»'']]
'''Mama Teresa wa Kolkata''' ([[26 Agosti]] [[1910]] – [[5 Septemba]] [[1997]]) alikuwa [[mtawa]] wa [[Kanisa Katoliki]] aliyejulikana kimataifa hasa kutokana na [[huduma]] yake kwa watu [[maskini]] katika mji wa [[Kolkata]] ([[Uhindi]]) iliyofanya apatiwe [[tuzo ya Nobel ya Amani]].
 
Tarehe [[19 Oktoba]] [[2003]] alitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[mwenye heri]]. Bado muujiza wa pili unahitajika ili atangazeatangazwe kuwa [[mtakatifu]].
 
== Maisha ==
Alizaliwa tarehe 26 Agosti 1910 mjini [[Skopje]] ([[Dola la Kituruki]], leo [[mji mkuu]] wa [[Makedonia]]) katika familia ya [[Waalbania]] akaitwa '''Agnes Gonxha Bojaxhiu'''.
 
Alipofikia umri wa miaka 18 alijiunga na shirika la [[Masista wa Loreto]] huko [[Ireland]] na mwaka [[1929]] alitumwa Uhindi afundishe kwenye [[shule]] ya masista mjini Kolkata alipoendelea hata kuwa [[mkuu wa shule]].
 
AliguswaHata hivyo aliguswa sana na hali ya ma[[fukara]] nje ya shule akajisikia [[wito]] wa kuwasaidia na kuishi pamoja nao.
 
Kwa kibali cha wakuu wa shirika lake na wa [[Kanisa]] mwaka [[1948]] alitoka [[jumuiya]] ya Loreto akaanzisha maisha duni kati ya wakazi wa [[mitaa ya vibanda]].
 
Alianzisha shule lakini baada ya muda alitambua umuhimu wa kuzingatia zaidi hali ya watu waliokuwaambao walikuwa [[wagonjwa]] na hatimaye kufa katika mitaa hiyo.
 
Mwaka [[1950]] alianzisha shirika la Masista [[Wamisionari wa Upendo]] ambalo mwanzoni lilikuwa jumuiya ndogo ya masista 12 tu.
Mstari 27:
Mwaka [[1979]] alipewa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]].
 
Mama Teresa aliaga dunia tarehe 5 Septemba 1997 akafanyiwa [[mazishi]] ya kitaifa.
 
== Sala zake ==
Mstari 92:
* [http://tralvex.com/pub/spiritual/MT-quotes.htm Complete Mother Teresa Quotations]
* [http://www.time.com/time/time100/heroes/profile/teresa01.html The TIME 100: The Most Important People of the Century – Mother Teresa]
* {{NYTtopic|people/t/teresa_mother}}
* [http://mcpriests.com/02_bio.htm Missionaries of Charity Fathers (MC Fathers / MC Priests) – Official Website: Biography of Mother Teresa]
* [http://www.time.com/time/world/article/0,8599,1655415,00.html Mother Teresa's Crisis of Faith (TIME.com)]