Tofauti kati ya marekesbisho "Ambrosi"

2,653 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 54 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q43689 (translate me))
Ndiye aliyemuongoa na kumbatiza [[Agostino wa Hippo]]
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]], [[babu wa Kanisa]] na [[mwalimu wa Kanisa]]. Sikuku[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[7 Desemba]] kila mwaka.
 
== Maisha ==
=== Mwanasiasa ===
Ambrosi alizaliwa katika [[familia]] ya [[Ukristo|Kikristo]] ya [[Dola la Roma]] kati ya miaka 334 na 340339 akakulia [[Trier]] (leo nchini [[Ujerumani]]).
 
Baba yake, aliyeitwa Ambrosius Aurelianus, alikuwa [[liwali]] wa [[Gallia]] (leo [[Ufaransa]]); mama yake alijulikana kwa akili na imani yake. Ndugu zake, [[Satyrus]] na [[Marselina]] wanaheshimiwa pia kama watakatifu.
 
Alipofiwa baba, Ambrosi alifuataalihamia [[Roma]] ili kufuata nyayo zake katika siasa. Alisomea [[Roma]]huko, hasa [[fasihi]], [[sheria]] na [[hotuba]].
 
[[Liwali]] [[Anicius Probus]] kwanza alimpa nafasi katika halmashauri halafu ([[370]]) akamfanya [[gavana]] wa [[Liguria]] na [[Emilia]], akiwa na makao makuu huko [[Milano]], mji wa pili wa [[Italia]].
 
AmbroseAmbrosi aliendelea na ugavana hadi mwaka [[374]] alipochaguliwa askofu wa Milano.
 
Ni kwamba, baada ya kifo cha [[Auxentius wa Milano]] aliyefuata [[uzushi]] wa [[Arios]], Ambrosi alikuwa amefika kanisani ili kutuliza ghasia kati ya [[Waarios]] na [[Wakatoliki]]. Lakini alipohutubia umati, akashangiliwa na pande zote mbili, "Ambrosi, askofu!". Alitaka kukataa, kwa kuwa hata hajabatizwa, lakini hatimaye alikubali.
 
Alipewa mara [[ubatizo]], [[kipaimara]] na [[ekaristi]], halafu baada ya wiki moja [[daraja takatifu]] ya [[uaskofu]] (tarehe 7 Desemba, ambayo imekuwa sikukuu yake hadi leo) akatoa kwa [[Kanisa]] na ma[[fukara]] [[dhahabu]] na [[fedha]] zake zote.
 
=== Askofu ===
[[Picha:Francisco de Zurbarán 032.jpg|thumb|left|120px|''Mt. Ambrose'', alivyochorwa na [[Francisco de Zurbarán]]]]
 
Kama askofu, zaidi ya [[useja]] wake, alishika juhudi za kitawa, alisaidia mafukara kwa mali zake karibu zote, akajitahidi kupata elimu ya [[Biblia]] na [[teolojia]] akaitumia vema katika kuhubiri., akifafanua kwa upana na udhati [[Biblia ya Kikristo|maandiko matakatifu]] [[tafakuri|aliyoyatafakari]] kwanza.
Mwenye [[nguvu]] na [[udumifu]], pamoja na [[kipawa]] cha kuhisi nini inawezekanika, aliweza kuongoza vizuri ajabu kama [[mchungaji]] halisi, mwenye msimamo na [[busara]], na hasa [[wema]] na [[upendo]]. Hivyo hakufukuza [[wakleri]] waliofuata mafundisho ya [[Arios]].
 
Mwaka [[378]] alikutana na [[kaisari Grasyano]], aliyemuomba afundishwe [[imani]] kinyume na mafundisho ya Arios. Baadaye [[kaisari]] huyo alizidi kusimama upande wa [[Wakatoliki]] akatoa hati dhidi ya [[wazushi]] ([[22 Aprili]] [[380]]), halafu akaieneza kwa [[Wapagani]], akiwaondolea [[fadhili]] zao za awali.
Ilimbidi atetee [[imani sahihi]] dhidi ya wafuasi wa Arios, mmojawao [[kaisari]] aliyedai awaachie makanisa mawili ya Milano, lakini Ambrosi alikataa katakata, akisema,
 
"Ukinitaka mwenyewe, niko tayari kutii: unipeleke gerezani au kifoni, sitapinga; lakini sitasaliti kamwe [[Kanisa]] la [[Yesu Kristo]]. Sitaita watu kunisaidia; nitakufa kwenye [[altare]] lakini si kuikimbia. Sitahimiza watu kupiga kelele: lakini [[Mungu]] tu anaweza kuwatuliza.
Mwaka uliofuata wote wawili walishiriki [[mtaguso wa Aquileia]] ili kuimarisha [[imani sahihi]] katika [[dola]].
 
IlimbidiBaada ateteeya Grasyano kuuawa ([[imani sahihi383]]), dhidiilimbidi yaazidi kupambana na wafuasi wa Arios, mmojawao [[kaisari Masimo]] aliyedai awaachie makanisa mawili ya Milano, lakini Ambrosi alikataa katakata, akisema,
"Ukinitaka mwenyewe, niko tayari kutii: unipeleke gerezani au kifoni, sitapinga; lakini sitasaliti kamwe [[Kanisa]] la [[Yesu Kristo]]. Sitaita watu kunisaidia; nitakufa kwenye [[altare]] lakini si kuikimbia. Sitahimiza watu kupiga kelele: lakini [[Mungu]] tu anaweza kuwatuliza". Hivyo alihamia pamoja na wafuasi wake [[basilika]] lililogombaniwa wakaendelea kulitumia [[usiku]] na [[mchana]]. Kadiri ya Augustino, ndiyo mwanzo wa nyimbo za Ambrosi.
 
[[Picha:Anthonis van Dyck 005.jpg|thumb|300px|''Mt. Ambrosi na kaisari Theodosius'' walivyochorwa na [[Anthony van Dyck]].]]
[[Picha:Sant'Ambrogio Cript in Basilica of Sant'Ambrogio, Milan.jpg|thumb|240px|right|Kikanisa chini ya [[basilika]] lake.]]
Ikulu halikupendezwahaikupendezwa na msimamo wa Ambrosi, lakini ilimuogopa na kumhitaji katika mapambano ya siasa. Mahusiano yaliendelea kuwa magumu.
 
Hatimaye [[Theodosius I]], kaisari wa mashariki, alipoangamiza ([[390]]) watu 7,000 huko [[Thesalonike]] ([[Ugiriki]]), Ambrosi alitisha kumtenga na Kanisa asipofanya [[toba]] kama [[mfalme Daudi]], akamruhusu kupokea tena ekaristi baada tu ya miezi kadhaa ya malipizi.
 
Mtetezi wa wale wote wanaonyanyaswa, alipambana vilevile na [[senati]] ya Roma na [[malkia]] ili kutetea [[siasa]] ya Kikristo kweli.
Msimamo wake ulibaki kielelezo kwa Kanisa la magharibi hata likaendelea mara nyingi kushindana na serikali.
 
Msimamo wake ulibaki kielelezo kwa [[Kanisa la magharibi]] hata likaendelea kudai [[uhuru]] na mara nyingi kushindana na [[mamlaka]] za [[serikali]] zisizotenda [[haki]].
 
Ambrosi alipaswa pia kupambana dhidi ya [[Wapagani]] waliotaka kufanya tena [[dini]] ya jadi kuwa [[dini rasmi]] ya [[Dola la Roma]] badala ya Ukristo. Alifaulu kumfanya Theodosius I kutoa hati zake maarufu za mwaka [[391]].
 
Mtume wa upendo, alisaidia yeyote aliyemkimbilia, hata akauza [[vyombo vya ibada]] ili kukomboa [[watumwa]], akisema, “Ikiwa Kanisa lina dhahabu, si kwa ajili ya kuitunza, bali ili liwape wanaohitaji”.
Kati ya mambo ya pekee aliyoacha ni urithi wa tenzi na [[liturujia]] ya pekee inayoendelea kutumika Milano na sehemu nyingine za Italia kaskazini na [[Uswisi]] ("liturujia ya Kiambrosi").
 
Kati ya mambo ya pekee aliyoacha ni urithi wa tenzi na [[liturujia]] ya pekee inayoendelea kutumika Milano na sehemu nyingine kadhaa za Italia kaskazini na [[Uswisi]] ("liturujia ya Kiambrosi").
 
Tarehe 4 Aprili Ambrosi alifariki, akaheshimika mara kama mtakatifu.
 
Masalia yake, ambayo ni kati ya maiti za zamani zaidi zilizopo nje ya [[Misri]], yanatunzwa katika kanisa lake mjini Milano.
 
==Maandishi na teolojia yake==
Ambrosi aliandika sana, ingawa si vitabu vyake vyote vimetufikia: vilikuwepo ishirini hivi vya [[ufafanuzi]] wa Biblia na vingine juu ya mafumbo ya imani na juu ya [[maadili]]. Tunazo pia [[hotuba]] za [[mazishi]], [[barua]], ma[[shairi]] na [[tenzi]] hasa kwa ajili ya [[liturujia]].
 
Kwa jumla maandishi yake ni ya kichungaji kuliko ya kinadharia, pia kutokana na jinsi alivyopata uaskofu ghafla. Alijaribu kuziba pengo la ujuzi wa ki[[teolojia]], lakini bila ya mafanikio makubwa. Ndiyo sababu anategemea sana [[babu wa Kanisa|mababu]] waliomtangulia.
 
Kuhusu [[Kristo]], anatofautisha ndani yake hali mbili na vilevile [[utashi]] wa Kimungu na ule wa kibinadamu.
 
Kuhusu [[ukombozi]], alidhani [[kifo]] cha [[Yesu]] kilikuwa gharama iliyolipwa kwa [[shetani]] ili kuokoa watu.
 
Kuhusu [[Bikira Maria]], alimuona hakuwa na [[dhambi]] maisha yake yote.
 
Kuhusu [[kitubio]], alionelea kwamba kwa [[dhambi kubwa]] sana kitolewe mara moja tu, tena hadharani.
 
==Sala yake==