Jeromu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 56 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q44248 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Michelangelo Caravaggio 057.jpg|thumb|250px|''Mt. Jeromu'' alivyochorwa na [[Caravaggio]].]]
 
'''Jeromu''' au '''Yeronimo''' (347-420) alikuwa [[padri]], [[mmonaki]] na mtaalamu wa [[Biblia]], aliyemudu vizuri [[lugha]] zote za kitabu hicho pamoja na [[BibliaKilatini]] pamojahata naakawa mwandishi bora wa lugha hiyo kati ya ma[[Kilatinibabu wa Kanisa]].
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]], [[babu wa Kanisa]] na [[mwalimu wa Kanisa]].
Mstari 8:
 
== Maisha ==
 
Alizaliwa mwaka [[347]] huko [[Strido]], sehemu za [[Dalmazia]] (leo [[Croatia|Korasya]]).
 
Alisomea [[Roma]], mwakamiaka ya [[379360]] kisha kupewa- [[upadri367]], naakijipatia [[askofuelimu]] [[Paulinoya wahali Antiokia]]ya alikwendajuu, [[Konstantinopoli]]aliyoiendeleza alipokamilishamaisha ujuziyake wakeyote, hata wakwa [[lughasafari]] yanyingi [[Kigirikimagharibi]] chini yana [[Gregorimashariki]] wazilizomwezesha Nazianzo]].kufahamiana na watu wengi maarufu.
 
[[Ubatizo|Alibatizwa]] huko Roma akiwa na umri wa miaka 25, akaendelea maisha yote kupambana kiume na [[tabia]] yake ngumu iliyochanganya [[ukali]] na wepesi wa kulia [[machozi]], [[unyofu]] na elekeo la [[kinyongo]], maisha magumu na [[hisia kali]], [[uadilifu]] na [[hamaki]], [[hisani]] na [[uchungu]] wa maneno.
Baada ya kuishi kama [[mmonaki]] miaka 3 akarudi Roma ([[382]]), alipoteuliwa na [[Papa Damaso I]] kuwa [[karani]] wake.
 
Akishika [[kazi]], [[saumu]], [[sala]] na ma[[kesha]], alivuta wengi kumfuata [[Kristo]] kwa karibu zaidi.
Baada ya papa huyo kufa, upinzani dhidi yake ulizidi, akahamia [[Mashariki ya Kati]], alipoanzisha [[monasteri]] kadhaa za kike na za kiume akaishi katika mojawapo hadi kufa ([[420]]).
 
Miaka [[375]] - [[377]] katika [[jangwa]] la [[Kalchis]] alifundishwa [[Kiebrania]] na [[Myahudi]] aliyeongokea [[Ukristo]].
 
Mwaka [[379]] kisha kupewa [[upadri]] na [[askofu]] [[Paulino wa Antiokia]] alikwenda [[Konstantinopoli]] alipokamilisha ujuzi wake wa [[lugha]] ya [[Kigiriki]] chini ya [[Gregori wa Nazianzo]].
 
Baada ya kuishi kama [[mmonaki]] miaka 3 akarudi Roma ([[382]]) na kuanza kutafsiri vitabu vya [[Origene]], mpaka alipoteuliwa na [[Papa Damaso I]] kuwa [[karani]] na mshauri wake.
 
Wakati huo alikamilisha ujuzi wake wa Kiebrania kwa msaada wa [[mwalimu wa dini]] ya Kiyahudi, na baada yake akazidi kutegemea elimu ya Kibiblia ya [[dini]] hiyo badala ya mbinu za Origene. Ndiyo sababu alikataa vitabu vya [[Deuterokanoni]].
 
Baada ya papa huyo kufa ([[385]]), upinzani dhidi yake ulizidi, akahamia [[Mashariki ya Kati]], alipoanzisha na kuongoza [[monasteri]] kadhaa za kike na za kiume zenye elimu ya hali ya juu, akaishi katika mojawapo huko [[Bethlehemu]], akitafsiri na kufafanua Biblia hadi kufadakika yake ya mwisho ([[420]]).
 
== 'Vulgata' ==
[[Vulgata]], [[tafsiri]] ya kwanza ya [[Biblia ya Kikristo]] nzima katika [[Kilatini]] ndiyo kazi yake muhimu zaidi. Aliianza kwa agizo la [[papa Damaso I]] mwaka [[382]], akaimaliza baada ya miaka 23. Tafsiri hiyo ilitumika kama msingi wa tafsiri nyingine nyingi hadi [[karne yaXX]]. 20Hata hivyo tangu wakati wake ilikosolewa sana kwa kufuata mno msimamo wa [[Uyahudi]].
 
Pia alitafsiri vitabu vingine, alitunga [[hotuba]], [[barua]] pamoja na vitabu juu ya maisha ya watu maarufu (yeye akiwa mmojawao) na vya kupinga mafundisho ya wengine.
 
==Sala yake==
Line 27 ⟶ 38:
 
== Vyanzo ==
 
* J.N.D. Kelly, "Jerome: His Life, Writings, and Controversies" (Peabody, MA 1998)
* S. Rebenich, "Jerome" (London and New York, 2002)