Isidori wa Sevilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 49 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q166876 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Isidor von Sevilla.jpeg|thumb|200px|right|Isidori wa Sevilia alivyochorwa na [[Bartolomé Esteban Murillo]].]]
[[Picha:Isidoro de Sevilla (José Alcoverro) 02.jpg|thumb|200px|right|Sanamu ya Isidori huko [[Madrid]] ([[1892]]), iliyochongwa na [[José Alcoverro|J. Alcoverro]].]]
'''Isidori''' alizaliwa ([[Cartagena]], leo nchini ([[Hispania]]) mwaka, [[560]] akafariki- tarehe[[Sevilia]], [[4 Aprili]] [[636]]) hukoalikuwa [[Seviliaaskofu]] alipokuwawa [[askofu]]Sevilia, Hispania.
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]], [[babu wa Kanisa]] na [[mwalimu wa Kanisa]].
Mstari 10:
 
== Maisha ==
Alizaliwa na Severianus na Turtura huko [[Cartagena (Hispania)]], akiwa wa nne kati ya watoto watano, ambao wanne kati yao wanaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama watakatifu: [[Leandro wa Sevilia]], Fulgensi, [[Fiorentina wa Cartagena]] naye mwenyewe. Kati yao, wawili wa kwanza walikuwa maaskofu, na wa mwisho alikuwa [[mtawa]].
 
Kaka yake, Leandro, ndiye aliyemlea baada ya kifo cha baba yao.
Baada ya kuwa [[mkleri]] huko Sevilia, Isidori alimrithi kaka yake Leandro kama askofu wa [[dayosisi|jimbo]] kuu hilo.
 
Baada yaKisha kuwa [[mkleri]] huko Sevilia, Isidori alimrithi kaka yake Leandro kama askofu wa [[dayosisi|jimbo]] kuu hilo, akaliongoza kwa miaka 40, akijitahidi pande zote: katika [[teolojia]], [[liturujia]], [[sheria za Kanisa]] n.k.
Alishika nafasi ya maana katika matukio ya nchi yake wakati huo ilipotawaliwa na [[kabila]] la Kijerumani la [[Wavisigoti]], ambao aliwavuta kutoka [[uzushi]] wa [[Ario]] kwenye imani ya [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]] na ya [[Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli]].
 
Alishika nafasi ya maana katika matukio ya nchi yake wakati huo ilipotawaliwa na [[kabila]] la Kijerumani la [[Wavisigoti]], ambao aliwavuta kutoka [[uzushi]] wa [[Ario]] kwenye imani ya [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]] na ya [[Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli]].
 
Alishiriki [[mtaguso IV wa Toledo]] ([[633]]) uliolenga kuunganisha [[Liturujia ya Toledo|liturujia maalumu ya Kihispania]]. Ndiye mwakilishi bora wa liturujia hiyo, aliyoirekebisha na kuistawisha.
 
Alipokaribia kufa, aliamua kupokea [[kitubio]] cha hadharani kadiri ya [[ibada]] aliyoitunga mwenyewe.
 
Pia alistawisha [[elimu]] yoyote na [[fasihi]] kuliko wote wa wakati wake.
 
== Maandishi ==
Aliandika sana juu ya mambo mbalimbali: [[sayansi]], [[historia]], [[teolojia]], [[maadili]], [[sheria za Kanisa]] na ufafanuzi wa [[Biblia]].
 
Vitabu muhimu zaidi ni vile 20 vya ''Etymologiae'', ambavyo aliviandika hasa kwa ajili ya malezi ya [[wakleri]] na vilikusanya ujuzi wote wa wakati ule vikatumika sana katika [[Karne za Kati]].
 
Hivyo alipata kuwa kiungo kati ya mababu wa Kanisa, ambaye ni wa mwisho wao upande wa magharibi, na hatua iliyofuata.
 
==Tafsiri==
Vitabu muhimu zaidi ni vile 20 vya ''Etymologiae'', ambavyo vilikusanya ujuzi wote wa wakati ule vikatumika sana katika [[Karne za Kati]]. Tafsiri yake ya kwanza kwa [[Kiingereza]] ni: Barney, Stephen A., Lewis, W. J., Beach, J. A. and Berghof, Oliver (translators). ''The Etymologies of Isidore of Seville.'' Cambridge: [[Cambridge University Press]], 2006. ISBN 0521837499, ISBN 9780521837491.
 
==Vyanzo==