Bud Spencer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Bud Spencer
Mstari 20:
 
==Wasifu==
Bud Spencer alizaliwa kama Carlo Pedersoli mjini Naples (iliyopo Santa Lucia). Spencer aemomuoa Maria Amato mnamo mwaka [[1960]] kwa pamoja wamezaa watoto watatu: Giuseppe (alizaliwa [[1961]]), Christine (alizaliwa [[1962]]) na Diamante (aliyezaliwa [[1972]]).
 
Spencer alianzsiha kampuni ndogo ya uchukuzi wa mizigo, hasa katika viwanja vya ndege, kampuni ilijulakana kama ''Mistral Air'' mnamo [[1984]], lakini baadae aliachana nayo na kwenda kununua kampuni ya kutengeneza nguo za watoto.
 
==Maisha Binafsi==
==Shughuli za Mwanzo==