Beda Mheshimiwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q154938 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Nuremberg Chronicle Venerable Bede.jpg|thumb|Beda Mheshimiwa alivyochorwa katika [[Kumbukumbu za Nuremberg]].]]
[[Picha:Bede.jpg|thumb|225px|right|[[Kaburi]] la Beda katika [[kanisa kuu]] la [[Durham]].]]
'''BedeBeda Mheshimiwa''' (takriban [[672]] au [[673]] – [[25 Mei]], [[735]]) alikuwa [[mwanateolojia]] na [[mwanahistoria]] kutoka [[nchi]] yani [[Uingereza]].
 
Hasa anafahamika kwa kitabu chake “Historia ya kikanisa ya taifa la Waingereza” (kwa [[Kilatini]]: ''Historia ecclesiastica gentis Anglorum'').
Mstari 14:
Habari nyingine tunazipata katika barua ya mwanafunzi wake Cuthbert inayohusu kifo chake.
 
Beda anataja mahali alipozaliwa kama "maeneo ya [[monasteri]] hii", yaani monasteri pacha ya [[Wearmouth]] na [[Jarrow]].
 
Beda hasemi kitu kuhusu asili yake, lakini kuna dalili kuwa [[familia]] yake ilikuwa na hali nzuri katika jamii.
 
[[Abati]] wake wa kwanza alikuwa [[BenedictBenedikto Biscop]].
 
Alipofikia umri wa miaka 7, alitumwa monasterini ili apate [[malezi]] kutoka kwa abati huyo, halafu kwa [[Ceolfrith]]. Beda haelezi kama lengo la awali lilikuwa awe [[mmonaki]] baadaye. Lakini ndivyo ilivyotokea, akatumia maisha yake yote “kuimbia sifa za [[Mungu]], kusoma, kufundisha na kuandika”, alivyosema mwenyewe.
 
Alipofikia miaka 19 tu, ([[692]] hivi), Beda alipewa [[daraja takatifu]] ya [[ushemasi]], na alipofikia miaka 30 ([[702]] hivi) alipata [[upadrisho]].
 
[[Mtaalamu]] wa [[biolojia]] na [[historia]], lakini hasa [[teoloja]], alifaulu kufanya [[Biblia]] ieleweke kwa urahisi kupitia mahubiri yake sahili iliyofuata mfano wa ma[[babu wa Kanisa]].
 
Mwaka [[701]] hivi Beda aliandika vitabu vyake vya kwanza, ''De Arte Metrica'' na ''De Schematibus et Tropis''; vyote viwili kwa ajili ya madarasa.
Line 28 ⟶ 30:
Aliendelea kuandika maisha yake yote, akimaliza vitabu zaidi ya 60, vingi vikiwepo hadi leo.
 
[[Mwanashairi]], aliandika tenzi kwa [[Bikira Maria]] ambazo ni kati ya zile bora zaidi zilizowahi kuandikwa.
Mwaka [[708]], baadhi ya wamonaki wa [[Abasia ya Hexham]] walimshtaki kuwa mzushi, lakini alifaulu kujitetea.
 
Mwaka [[708]], baadhi ya wamonaki wa [[Abasia ya Hexham]] walimshtaki kuwa mzushi, lakini alifaulu kujitetea.
 
Mwaka [[733]], Beda alisafiri hadi [[York]], [[Lindisfarne]] na sehemu nyingine.