Hildegarda wa Bingen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 59 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q70991 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Hildegard.jpg|thumb|right|200px|Hildegarda akipata [[njozi]] na kumsimulia [[karani]] wake.]]
'''Hildegarda wa Bingen, [[O.S.B.]]''' ({{lang-de|link=no|Hildegard von Bingen}};, kwa [[KilatiniKijerumani]] HildegardisHildegard Bingensis) alikuwa [[mwanamke]]von [[mmonaki]]Bingen, [[mwanafalsafa]] na mtunzi wa vitabu vya aina mbalimbali kutokakwa [[UjerumaniKilatini]] waHildegardis leoBingensis ([[Bermersheim vor der Höhe]], [[Dola Takatifu la Kiroma]], [[1098]] hivi<ref>Maddocks, Fiona. ''Hildegard of Bingen: The Woman of Her Age'' (New York: Doubleday, 2001), 9.</ref> - [[Bingen am Rhein]] [[17 Septemba]] [[1179]]).<ref>Bennett, Judith M. and Hollister, Warren C. ''Medieval Europe: A Short History'' (New York: McGraw-Hill, 2001), 317.</ref>, alikuwa [[mwanamke]] [[mmonaki]], [[mwanafalsafa]] na mtunzi wa vitabu vya aina mbalimbali kutoka [[Ujerumani]] wa leo.
 
Toka zamani [[abesi]] huyo anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]], [[Waanglikana]] na [[Walutheri]] kama [[mtakatifu]]. [[Papa Benedikto XVI]] alithibitisha [[utakatifu]] wake tarehe [[10 Mei]] [[2012]] na kumtangaza [[mwalimu wa Kanisa]] tarehe [[7 Oktoba]] 2012.<ref>[http://www.uscatholic.org/news/2012/05/pope-recognizes-hildegard-saint-advances-causes-us-bishop-nun Catholic News Service]</ref><ref>[http://www.catholicculture.org/news/headlines/index.cfm?storyid=14287 Vatican newspaper explains 'equivalent canonization' of St Hildegard of Bingen]</ref> [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[17 Septemba]].
 
==Maisha==
Hildegarda alizaliwa na Hildebert na Mechthilde katika [[familia]] ya kisharifu kama mtoto wa kumi, mgonjwa tangu mwanzo.<ref>Maddocks, Fiona. ''Hildegard of Bingen: The Woman of Her Age'' (New York: Doubleday, 2001), 17.</ref>
 
Katika kitabu chake ''Maisha'', Hildegarda anasimulia kwamba utotoni alianza kupata [[njozi]] akiwa na miaka 3 tu, na kwamba alipofikia miaka 5 alianza kutambua kuwa ni [[karama]] kutoka kwa [[Mungu]].<ref name="Ruether, Rosemary Radford 2002">Ruether, Rosemary Radford. ''Visionary Women'' (Minneapolis: Augsburg Fotress, 2002), 7.</ref><ref>Underhill, Evelyn. ''Mystics of the Church'' (Pennsylvania: Morehouse Publishing, 1925), 77.</ref>