Thomas Aquinas Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
'''Mtakatifu Thomas Aquinas''' alikuwa [[upadri|padri]] wa [[Kanisa Katoliki]] na [[mtawa]] wa '''[[Shirika la Wahubiri]]''' kutoka nchi ya [[Italia]].
 
Thoma alizaliwa [[ngome]]ni [[Roccasecca]], katika eneo la watawala wa [[Aquino]] ([[Frosinone]], [[Italia]]), mwaka [[1224]] au [[1225]], akafariki katika [[konventi]] ya [[Fossanova]] tarehe [[7 Machi]] [[1274]].
 
Masalia yake yanatunzwa katika konventi ya [[Wadominiko]] ''des Jacobins'' huko [[Tolosa]] ([[Ufaransa]]).
 
Mwanafunzi wa [[Alberto Mkuu]], alitumia hasa mawazo ya [[mwanafalsafa]] wa [[Ugiriki]] [[Aristoteli]]. na ya [[Waarabu]] waliomtafsiri, lakini pia ya [[Plato]]: ili kufafanua [[imani]], alikubali [[ukweli]] ulioweza kutolewa na yeyote, kwa sababu kweli zote zinatoka kwa [[Mungu]]; kinyume chake alikanusha udanganyifu wowote.
 
Hivyo aliweza kufanya [[usanisi]] mpana ambao mpaka leo [[Kanisa Katoliki]] linautambua kama tokeo bora ya mafundisho yake lenyewe.
Pia anajulikana sana kwa vitabu vyake “Jumla ya Teolojia” (kwa [[Kilatini]] ''[[Summa theologiae]]'') na “Jumla dhidi ya Wapagani” (kwa Kilatini ''[[Summa contra gentiles]]'').
 
PiaAnajulikana anajulikana sanahasa kwa vitabu vyake “Jumla ya Teolojia” (kwa [[Kilatini]] ''[[Summa theologiae]]'') na “Jumla dhidi ya Wapagani” (kwa Kilatini ''[[Summa contra gentiles]]'').
Alitangazwa na [[Papa Yohane XXII]] kuwa [[mtakatifu]] tarehe [[18 Julai]] [[1323]], halafu na [[Papa Pius V]] kuwa [[mwalimu wa Kanisa]] mwaka [[1567]].
 
Alitangazwa na [[Papa Yohane XXII]] kuwa [[mtakatifu]] tarehe [[18 Julai]] [[1323]], halafu na [[Papa Pius V]] kuwa [[mwalimu wa Kanisa]] mwaka [[1567]]. Kwa Kilatini anaitwa ''Doctor Angelicus'' (''Mwalimu wa Kimalaika'') au ''Doctor Communis'' (''Mwalimu wa wote'').
 
Mnyofu, mkimya, aliyekuwa tayari kutumikia, kiutu alipendwa na wote, naye alipendelea watu wa chini, akihubiria ma[[fukara] kwa [[usahili]] na [[wema]] hata zaidi ya mara moja kwa siku.
 
Ni [[msimamizi]] wa [[wanateolojia]], [[wanachuo]], watoaji na wauzaji wa vitabu, [[wanafunzi]] na [[shule]].
Line 63 ⟶ 67:
 
== Umuhimu wake ==
Kuliko wengine wote, Thoma aliona elimu na masomo kama njia ya kufikia utakatifu; ni kati ya watu bora upande wa nadharia, hasa ya [[teolojia ya shule]], iliyofikia kilele chake katikati ya [[karne XIII]].
 
== Maandishi ==