Tofauti kati ya marekesbisho "Teresa wa Mtoto Yesu"

769 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 44 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q181715 (translate me))
[[Picha:TeresadiLisieux.JPG|thumb|right|Picha ya Teresa akiwa amevaa [[kanzu]] na [[shela]] za Kikarmeli, 1895.]]
 
'''Teresa wa Mtoto Yesu na wa Uso Mtakatifu''' ([[2 Januari]] [[1873]] - [[30 Septemba]] [[1897]]) ni jina la kitawa la '''Thérèse Françoise Marie Martin''', maarufu pia kwa jina la '''Teresa wa Lisieux''', anayeheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]] mwenye sifa za [[bikira]] na [[mwalimu wa Kanisa]].
 
Tangu mwaka [[1927]] ni [[msimamizi]] wa [[wamisionari]] wote (pamoja na [[Fransisko Xavier]]), na tangu mwaka [[1944]] wa [[Ufaransa]] (pamoja na [[Yoana wa Arc]]).
 
Alizaliwa [[Alençon]] tarehe [[2 Januari]] [[1873]]. Wazazi wake walikuwa [[Louis Martin]] na [[Marie-Azélie Guérin]], ambao wanaheshimiwa kama [[wenye heri]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe [[1 Oktoba]].
[[Picha:Teresadarco.jpg|thumb|right|170px|Teresa akiigiza kama Yoana wa Arc (1895)]]
[[Picha:Basilique de Lisieux.JPG|left|thumb|250px|Basilika la Lisieux, lenye eneo la 4500 m<sup>2</sup> na urefu wa mita 95, lililojengwa kwa heshima yake mwaka [[1937]]]]
Teresa, mtoto wa tisa na wa mwisho wa Louis Martin na Marie-Azélie Guérin (Zélie), ambao wanaheshimiwa kama [[wenye heri]], alizaliwa tarehe 2 Januari 1873 kwenye barabara rue Saint-Blaise 42, huko Alençon (Ufaransa).
 
Walipokuwa vijana wazazi wake walitaka kuingia utawani, wasiweze. Baada ya kuoana, maisha yao yote yaliongozwa na [[imani]] na [[maadili]] ya [[Ukristo]].
Teresa alipozaliwa, watoto 4 walikuwa wameshafariki.
 
Teresa alifiwa mama yake alipokuwa na umri wa miaka 4 tu. Hapo mjomba wake, Isidore Guerin, aliteuliwa kuwa mlezi msaidizi wa mabinti watano wawalioachwa na [[marehemu]]. Hivyo, tarehe [[15 Novemba]] [[1877]], Louis Martin alihamia Buissonnets, kitongoji cha [[Lisieux]], awe jirani na [[shemeji]] yake mwenye [[famasia]]. Huko Teresa alijenga uhusiano mkubwa na binamu yake Maria.
 
UhusianoLakini uhusiano wa pekee hasa alikuwa nao kwa dada zake Paulina na Maria, akiwaona kama mama zake.
 
Mwaka 1882, Paulina alipoingia [[monasteri]] ya [[Wakarmeli]] ya Lisieux, angetaka kumfuata, lakini hakuweza kutokana na umri wake mdogo. Zaidi tena alitaka kufanya hivyo Maria pia alipoingia monasteri hiyohiyohiyo mwaka [[1886]].
 
Usiku wa [[Noeli]] iliyofuata, alishinda moja kwa moja [[huzuni]] yake iliyomfanya alielie daima. Alielewa anahitaji kumtafuta [[Mungu]] zaidi na kujipatia hivyo "Elimu ya upendo".
 
Alipofikia umri wa miaka 14 Teresa alianza kupigania [[wito]] wake dhidi ya upinzani wa watu mbalimbali waliotaka kuahirisha hatua ya kujiunga na [[utawa]]. Kwa ajili hiyo alisafiri hadi [[Roma]] ili akaombe ruhusa ya [[Papa Leo XIII]], lakini alikataliwa kwa wema,. kituKitu hicho kilichomsikitisha lakini bila ya kumhangaisha, akijua amefanya kila aliloweza ili kuitikia wito wake mapema.
 
Wakati wa kurudi Ufaransa, [[askofu]] wake aliamua kubadili msimamo wake na kumruhusu. Hivyo tarehe 9 [[Aprili]] [[1888]] msichana Teresa alingiia [[Karmeli]], akiwa na miaka 15 tu. Ile tisa iliyofuata ikawa na [[maendeleo ya kiroho]] ya kasi ajabu.
 
Mwaka [[1893]] aliteuliwa kuwa mlezi msaidizi wa [[wanovisi]], kazi aliyofanya kwa bidii na ufanisi mkubwa. Baadaye akawa mlezi kwa umati wa watu akiwaelekeza kufuata [[Heri Nane]] alizotangaza [[Yesu]] mlimani.
 
Mwaka [[1894]], baada ya [[ugonjwa]] wa muda mrefu, mzee Louis Martin alifariki, na binti yake mwingine, Selina, aliyekuwa anamtunza, aliweza kujiunga na monasteri hiyo. [[Kamera]] yake imetuachia [[picha]] halisi za Teresa.
 
Mwezi [[Aprili]] [[1896]], alipatwa na [[TB]], ugonjwa ambao ukajauliokuja kumuua baada ya miezi 18. Mateso ya mwili yaliendana na yale ya ndani yanayojulikana kama "usiku wa roho".
 
Tarehe [[10 Julai]] [[1897]] udhaifu ulimzuia asiendelee kuandika habari za maisha yake kama alivyoagizwa. Neno la mwisho aliloliandika katika sentensi isiyomalizika ni "upendo".
 
== Heshima baada ya kufa ==
Mara baada ya kufa maandishi yake yalianza kusambaa kwa namna ya ajabu na kumvutia [[heshima]] ya wengi. Pia ilipatikanailitokea [[miujiza]] iliyopatikana kwa maombezi yake. Ni kama alivyosema, kuwa atamimina [[mvua]] ya ma[[waridi]] kutoka [[mbinguni]], akitumia [[uzima wa milele] kutenda mengi duniani.
 
Mwaka [[1925]] [[Papa Pius XI]] alimtangaza mtakatifu, na mwaka [[1997]] [[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza mwalimu wa Kanisa kutokana na mchango wake mkubwa katika [[teolojia ya Kiroho]] alioutoa kupitia maandishi yake, yaliyoenea upesi ajabu duniani kote.
 
==Njia yake ya kiroho==
“Njia ndogo ya [[utoto wa kiroho]]” inafundisha kutimiza sharti la Yesu: “Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia katika [[ufalme wa mbinguni]]” ([[Math]] 18:3). Njia hiyo inatia moyo wa kujitoa kikamilifu kama kikafara kwa [[wokovu]] wa [[ulimwengu]]: “Sijawahi kumnyima chochote [[Mungu]] mwema!”
 
[[Siri]] yake ni [[upendo]], ambao Teresa alitambua ndio [[wito]] wake katika [[Kanisa]]: kuwa [[moyo]] wa [[Mwili wa Kristo]] ili kusaidia viungo vyote kufanya kazi vizuri.
Mwaka [[1925]] [[Papa Pius XI]] alimtangaza mtakatifu, na mwaka [[1997]] [[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza mwalimu wa Kanisa kutokana na mchango wake mkubwa katika [[teolojia ya Kiroho]] alioutoa kupitia maandishi yake, yaliyoenea upesi ajabu duniani kote.
 
==Sala zake==